Harusini baada ya pilau tuliburudishwa kwa taarabLimechacha pilau ya harusini....
Taarab lenye bahja za al-watan zinaniliwaza sana.., chundaji ee kulialia ndo hulka...Harusini baada ya pilau tuliburudishwa kwa taarab
ipi ni bora kati ya kuUpgrade au Ku Promote ?Hulka yako ni ipi
Cheti ni nini?Kupromote uhalifu kwa kutomtumbua mwenye cheti
nini nini makonda lete vyeti lasivyo ni bashite..Cheti ni nini?
Mjini dar ndiko nilipo na vyeti sitoiBashite ndio habari ya mjini
Daud yupo ofisi anakula kiyoyoziSitoi kwa sababu haviitajiki kama vya Daud
Kiyoyozi hakiliwi bhana.... ni upepo/hewa ya baridi ndo huzingira !!Daud yupo ofisi anakula kiyoyozi
Huzingira! Inaonekana haujawahi kukipataKiyoyozi hakiliwi bhana.... ni upepo/hewa ya baridi ndo huzingira !!
Kukipata kipochi chake mpaka ukisotee kwa kweli maana anambana sanaHuzingira! Inaonekana haujawahi kukipata
Sana sana napenda kula vitu vizuriKukipata kipochi chake mpaka usitotee kwa kweli maana anambana sana
Vizuri sana mkuu DadySana sana napenda kula vitu vizuri
Salama hivi keshaolewa!Vizuri sana mkuu Dady
Hata mimi napenda kula vitu vizuri hasa viwe kwenye mazingira salama