Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
itakulilia chozi la upendo...Mtu ukimuua hiyo damu itakulilia
itakulilia chozi la upendo...Mtu ukimuua hiyo damu itakulilia
Maswahiba mie ndo sina, ila wasalimie mnoWeekend hii nipo haoa Malaika na kula dina na maswahiba...
Upendo, nimekumbuka mbali sana kila ninapsikia hilo nenoitakulilia chozi la upendo...
Mshumaa huwa hauna uhai, usifananishe upendo na mshumaa rafikiUpendo wangu ni zaidi ya mshumaa
Neno langu sintobadili na moyo wangu umetulia...Upendo, nimekumbuka mbali sana kila ninapsikia hilo neno
Umetulia tuliiiNeno langu sintobadili na moyo wangu umetulia...
Umetulia baada ya kujua bibie anakupenda sanaNeno langu sintobadili na moyo wangu umetulia...
Tulii ndo kiasi ganiUmetulia tuliii
Kiasi gan cha watanzania wanaofatilia mambo ya msingi?Tulii ndo kiasi gani
Msingi wa kilimo ni maji.....Kiasi gan cha watanzania wanaofatilia mambo ya msingi?
Nimechapia mie au wewe?? Inaonekana ulikuwa unakimbia kipindi cha somo la kiswahiliMaji hufuata upepo na bendera hufuata mkondo![]()
![]()
kwani nimechapia
nimechapia kilichonisibu ni papara zangu...Maji hufuata upepo na bendera hufuata mkondo![]()
![]()
kwani nimechapia
Zangu sio za bandianimechapia kilichonisibu ni papara zangu...
Kiswahili kimewanyanyuwa waalimu wa kenya kimaisha....Nimechapia mie au wewe?? Inaonekana ulikuwa unakimbia kipindi cha somo la kiswahili
Bandia sintokuwa mimi.. ukweli wangu kwako unaujuwa!!Zangu sio za bandia
Jua linachopozea mashariki....unaujuwa au unaungua na jua
Vitu gani humu jf unahisi vinapaswa kuongezwa au kupunguzwa?Jaman nilikuwa natuma vitu gan humu!!!?
![]()
![]()