naipenda sana ile mini yako aisee we bonge la mremboMpya nguo yangu naipenda
UhHamna hiyo kitu kuna nini siku hizi?
Hizi tarehe sio nzuri kwa wafanyakazi wa serikali
Mpya huku hakuna, nimewamiss humu ndani haswaa Dada sakayoNafwaa ni msamiati mpya
Pabaya ndio patamuSakayo mchezo tushauchoka huu mwisho utaishia pabaya
Patamu mwisho pachungu
Sana sana yule mkaka hakuwa rijali kuimudu familia....![]()
![]()
![]()
mbona umefurahi sana
Hospitali mkakarabati afya zenu, poleni sana. Nitawaombea naelekea jumuiyaFamilia yangu leo wameamka wanajihisi vibaya, ngoja tufike hospitali
We umetokea wapi humu tena!!!Jaman nilikuwa natuma vitu gan humu!!!?
![]()
![]()