Paprika
JF-Expert Member
- Feb 25, 2017
- 5,950
- 9,880
Viungo vya pilau vimeliwa na panya!Maji ushachemshewa ukitaka kuoga wahi au njoo unitilie viungo...!!
Viungo vya pilau vimeliwa na panya!Maji ushachemshewa ukitaka kuoga wahi au njoo unitilie viungo...!!
Panya unafuga mwenyewe huko nyetini...!!😛Viungo vya pilau vimeliwa na panya!
Sequa wana maji matamu na masafi.Maji ya azam au sequa?
Nyetini kuna bakteria wazuri walindao.Panya unafuga mwenyewe huko nyetini...!!😛
Walindao benki au wizara ya misitu na rasilimali?Nyetini kuna bakteria wazuri walindao.
Kamwe siwezi kumfulia chupi yakeMazuri yako sinto yasahau kamwe!!
Walindao usiku wakat sisi tumalala nao wanakazi jamani!!Nyetini kuna bakteria wazuri walindao.
Jamani naomba mumuache mgonjwa apumzikeWalindao usiku wakat sisi tumalala nao wanakazi jamani!!
Rasilimali za nchi yetu zinateketeaWalindao benki au wizara ya misitu na rasilimali?
apumzike wapi nawe hukumfungulia dirisha apate upepo?!?Jamani naomba mumuache mgonjwa apumzike
Mpirani kuna wasiojua kuchezaAtakaeniwahi kumsalimia ZZ nitamzawadia tiketi ya kuingia mpirani
Upepo uliovuma leo, umetunyima raha!apumzike wapi nawe hukumfungulia dirisha apate upepo?!?
Apumzike wakati bado sindano zinamsubiriJamani naomba mumuache mgonjwa apumzike
Kucheza bila kutunzwa hainogeshi....Mpirani kuna wasiojua kucheza
Zinamsubiri atoke shule?Apumzike wakati bado sindano zinamsubiri
Zinamsubiri raha aitakayo Paprika sijui atafurahi??Apumzike wakati bado sindano zinamsubiri
Hainogeshi kuukimbia bila kutoa jasho!Kucheza bila kutunzwa hainogeshi....
Jasho halitoki kwa sbb "no pain no gain" lishe ipo wapi?Hainogeshi kuukimbia bila kutoa jasho!
Wapi utaipata hyo lishe kirahisi haliyenyewe ilivyo ngumu hvi wakuuJasho halitoki kwa sbb "no pain no gain" lishe ipo wapi?
Wakuu tulifundishwa kiwa sunira ya vuta kheri!!Wapi utaipata hyo lishe kirahisi haliyenyewe ilivyo ngumu hvi wakuu