Sakayo mbuni huliwa...Habarini za siku wapambanaji wenzangu
Mwisho wa wachangiaji ndo mwisho wa uzi huuDuniani kuna mengi, uzi gani huu usio na mwisho!!
Huu ni uzi wa mshikamano na kuunganisha uswahiba....Mwisho wa wachangiaji ndo mwisho wa uzi huu
Uswahiba huo utatufanya tuishi kama nduguHuu ni uzi wa mshikamano na kuunganisha uswahiba....
Ndugu wasikuizi wanapenda mali zakoUswahiba huo utatufanya tuishi kama ndugu
Hazinihisu vipi sasaZako wewe mimi hazinihusu
Sakayosa hana jipyaVipi umeamkaje we Sakayonsa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hana jipya, unaukumbuka huo mtindo wa Sakayonsa miaka ile ya tisiiniSakayosa hana jipya
Sakayonsa ndo nani tenaa, mie niko poa sanaVipi umeamkaje we Sakayonsa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Poa sana, sakayonsa ni mtindo wa muziki uliingia miaka ya tisiini, ni kama vile ndombolo au achimenenguleSakayonsa ndo nani tenaa, mie niko poa sana
Achimenengule ya akina banza stone marehem duuuh wacha kabsa kind hicho Nina demu wa kijeruman nmekuja dar kutafuta visa hatari sana ilikuaPoa sana, sakayonsa ni mtindo wa muziki uliingia miaka ya tisiini, ni kama vile ndombolo au achimenengule
Ilikuwa kila sehemu achimenenguleAchimenengule ya akina banza stone marehem duuuh wacha kabsa kind hicho Nina demu wa kijeruman nmekuja dar kutafuta visa hatari sana ilikua
Achimenengule hili neno si la kimakonde?Ilikuwa kila sehemu achimenengule
Achimenengule hutulizwa kwa msondo ngoma..!!!Ilikuwa kila sehemu achimenengule