Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,735
- 76,360
Ngoma zao zilitamba zamaniAchimenengule hutulizwa kwa msondo ngoma..!!!
Ngoma zao zilitamba zamaniAchimenengule hutulizwa kwa msondo ngoma..!!!
Zamani ilikuwa ahuweni hali za kimaisha, hadi kufikia simu na redio moja hutumiwa na familia moja bila kubughudhana.....Ngoma zao zilitamba zamani
Kubughudhiana kwa njia ya taharabu na vijimaneno vingne ndo tunakumbana navyo wapangaji wa uswahilini.Zamani ilikuwa ahuweni hali za kimaisha, hadi kufikia simu na redio moja hutumiwa na familia moja bila kubughudhana.....
Uswahilini tunakuweza sisi nyie rudini huko huko uzunguniKubughudhiana kwa njia ya taharabu na vijimaneno vingne ndo tunakumbana navyo wapangaji wa uswahilini.
Wapenda raha ∑d/dx∫∂√(d/dx)θ=Uzunguni utafikiri wanakaa wazungu kumbe ni waswahili wapenda raha
Vichwa vya dagaa ni chakula kizuri cha kuku= Hio tuu ndo Nimeona mengine tutaumizana vichwa
Kuku njoo huku Jf wanakusemaVichwa vya dagaa ni chakula kizuri cha kuku
Nimegundua sio kila anaekuchekea anakupenda![]()
![]()
yaani nimecheka hadi nime...
Jina lake nani, mtaje tu ili dunia ijueAnakupenda yule jamaa, simtaji jina
Jina langu ni ZZamiluni....Anakupenda yule jamaa, simtaji jina
Zzamiluni habari za weekendJina langu ni ZZamiluni....
Dunia ijue mwarabu ataua mtu.....Jina lake nani, mtaje tu ili dunia ijue
Weekend hii nipo haoa Malaika na kula dina na maswahiba...Zzamiluni habari za weekend
Mtu ukimuua hiyo damu itakuliliaDunia ijue mwarabu ataua mtu.....