Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Kupunguzwa sio rahisi, labda kuongezaVitu gani humu jf unahisi vinapaswa kuongezwa au kupunguzwa?
Kupunguzwa sio rahisi, labda kuongezaVitu gani humu jf unahisi vinapaswa kuongezwa au kupunguzwa?
Mashariki na kuzama magharibiJua linachopozea mashariki....
Magharibi mwa Tanzania hupendelewa kulimwa mazao gani?Mashariki na kuzama magharibi
magharibi kwa kina sakayo ndio nataka nije nioweMashariki na kuzama magharibi
Niowe wakati magufuri amekaza Uzi? Sioi ng'omagharibi kwa kina sakayo ndio nataka nije niowe
sioi ng'o hata mimi labda nipewe bure bila mahariNiowe wakati magufuri amekaza Uzi? Sioi ng'o
Bila mahari huyo mke utampata wapi?sioi ng'o hata mimi labda nipewe bure bila mahari
wapi ambako nitampata ambaye hajatumika nimtolee mahariBila mahari huyo mke utampata wapi?
Nimtolee mahari wakat hayupo tayar kuolewawapi ambako nitampata ambaye hajatumika nimtolee mahari
Kuolewa ni hadhi kubwa kwa mabinti.....Nimtolee mahari wakat hayupo tayar kuolewa
Mabinti WA kitanga na wazaramo, utaoa WA wapi?Kuolewa ni hadhi kubwa kwa mabinti.....
Wapi eenh?Mabinti WA kitanga na wazaramo, utaoa WA wapi?
Atakaeniwahi KWA kipindi hiki cha ujana wangu atafaidi, maana Nina bingo!!Wapi eenh?
Mmmmh acha nifikirie kwanza.. labda atakaeniwahi...!!
Atakaeniwahi kuamka achemshe maji.Wapi eenh?
Mmmmh acha nifikirie kwanza.. labda atakaeniwahi...!!
Nina bingo za kiTZ hazivuki bahari hindi....Atakaeniwahi KWA kipindi hiki cha ujana wangu atafaidi, maana Nina bingo!!
Wapi naweza kupata maandazi mazuri?Mabinti WA kitanga na wazaramo, utaoa WA wapi?
Maji ushachemshewa ukitaka kuoga wahi au njoo unitilie viungo...!!Atakaeniwahi kuamka achemshe maji.
Atakaeniwahi kumsalimia ZZ nitamzawadia tiketi ya kuingia mpiraniWapi eenh?
Mmmmh acha nifikirie kwanza.. labda atakaeniwahi...!!
Maji ya azam au sequa?Atakaeniwahi kuamka achemshe maji.
Mazuri yako sinto yasahau kamwe!!Wapi naweza kupata maandazi mazuri?