Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Kunyesha ndo ishabumaHofu imetanda baada mvua ya vuli kugoma kunyesha
Kunyesha ndo ishabumaHofu imetanda baada mvua ya vuli kugoma kunyesha
Ishabuma, jukwaani wakuu wote WamelalaKunyesha ndo ishabuma
Uchochezi ni neno hatarishi kwa sasa hapa BongoVikali vinaua acha uchochezi
Kiintellegencia ohhh we mkali sana kipenzi cha wengiKwa kweli umemisika sana hadi nilikuwa nifanye utaratibu wa kiintellegencia
Unakaba sana mkuu na shemeji mamaafacebookYako naona inaenda vizuri, yangu pia japo uchumi unakaba
Kwako nasikia kuna panya wengi sana mkuuHofu imenitoka sasa kwa kulisikia hilo kutoka kwako
Vikali mimi nawachia sakayo, black womani, atug na Ukhuty, mimi nagonga sodaKweli we mwoga, mi nilidhani unapiga vile vitu vikali
Pia jua linapiga jamani sio kwa ukame huuSio kufulia tu na kudhalilika pia
Inanihusu kujua ratiba yako ya siku ya kesho kwa kweli ili nisikufanye ukashindwa kulala, wewe ni kama my black womani nyie huwa mnaratba nzuri sana za kwenda kwa ibada siku ya JumapiliMkuu hata hivyo nataka nilalee kesho misa ya kwanza inanihusu
mamaafacebook II anasemaje tena?Unakaba sana mkuu na shemeji mamaafacebook
Bongo hapa bila udikteta hatuendiUchochezi ni neno hatarishi kwa sasa hapa Bongo
Mkuu sio kweli, nina paka anapiga kazi sio mchezoKwako nasikia kuna panya wengi sana mkuu
Tena nimeshangaaa sijamuona mamaafacebook jamani kwa muda sanamamaafacebook II anasemaje tena?
Soda tena kaka?, mgonjwa wa kisukari mtarajiwaVikali mimi nawachia sakayo, black womani, atug na Ukhuty, mimi nagonga soda
kamwe usiwaze kutomuheshimu mtu kwa ajili ya udhaifu wake...Uliowakosea hawawezi kukuheshimu kamwe
Mchezo wa kunyemelea viserengeti sio poa kitukoMkuu sio kweli, nina paka anapiga kazi sio mchezo
Hatuendi kwenye ibada kesho?Bongo hapa bila udikteta hatuendi
Kulala mapema nako ni kipajiBaadaee itanilazimu kulala
Tena nimeshangaaa sijamuona mamaafacebook jamani kwa muda sana
Kituko sio wa hivyo kakaMchezo wa kunyemelea viserengeti sio poa kituko