Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Uliowakosea hawawezi kukuheshimu kamwe
Kamwe usithubutu kuwadharau wakwe zako maana ni kama wazaz,ukiwaheshim itakujengea hazina sana maishana na ndoa yako itadumu,,,hamjambo lakin?naona jumamos tulivu kabsa,,mi naendelea kudownloud series Kali Kali tu wik end hii
 
Back
Top Bottom