Yaani umeamkaje mrembo UkhutyKabisa yaani
Kabisa kabisa yani haitawezekana maji kupanda mlimaMema hayahesabiwi kwa maneno tu Bali kwa matendo maana iman bila matendo ni bure kbsa
j'pili njema na wewe pia...Mlima Kilimanjaro, mlima mrefu barani Africa wakuu hope mko poa nawatakia j'pili njema
Njema sana kusikia mdogo wangu upo salamaMlima Kilimanjaro, mlima mrefu barani Africa wakuu hope mko poa nawatakia j'pili njema
Pia nawe Jumapili njema chiefj'pili njema na wewe pia...
Poa sana kuona umeenda churchMpango kazi wa leo umeenda poa
kaka yako nipo pouwaSalama kabisa hofu kwako kaka
kabisa shehe umenene imani bila matendo ni bureMema hayahesabiwi kwa maneno tu Bali kwa matendo maana iman bila matendo ni bure kbsa
Bure ni aibu,,tusipende bure inatuabisha kila sehem,tujarbu kulipia kila jambo ili uchum wa mtu mmoja mmoja uwe imara,,,nashangaa najarib kulaza maandishi nashindwa mnafanyaje hapakabisa shehe umenene imani bila matendo ni bure
Inaponza hasira kuona una ignore machozi yanguBure inaponza
Yangu hali nzuri cjui nyinyiInaponza hasira kuona una ignore machozi yangu
Nyinyi huko kwenu wazima aishaYangu hali nzuri cjui nyinyi
Aisha na ndugu zake wazima wote sjui nyinyi hukoNyinyi huko kwenu wazima aisha
Nyinyi nyote ni washindani lakini mshindi nipoYangu hali nzuri cjui nyinyi