Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,784
- 51,357
Yanachimbwa kwa ustadi wa hali ya juuChini ya ardhi kuna madini kiasi gani? Maana toka nazaliwa nasikia yanachimbwa
Yanachimbwa kwa ustadi wa hali ya juuChini ya ardhi kuna madini kiasi gani? Maana toka nazaliwa nasikia yanachimbwa
Ngumi jiwe upoNaiogopa lakini sijawahi pigwa ngumi
Wake udhaifu ni wa kukemeakamwe usiwaze kutomuheshimu mtu kwa ajili ya udhaifu wake...
Mtarajiwa raisi 2020 otea atakuwa naniSoda tena kaka?, mgonjwa wa kisukari mtarajiwa
Kesho ibada muhimu sanaHatuendi kwenye ibada kesho?
Kesho ibada muhimu mkuu, wazungu wanasema hivi, ukiitumia vizuri jumapili kwa kuomba basi week itakuwa ni ya barakaHatuendi kwenye ibada kesho?
Zake namba alikupa wewe mbona mkuuMuda sana kwa kweli, nini kimemuuzi?, mamaafacebook II bonge la mshikaji yupo poa sana, hauna namba zake?
Kaka kituko sio wa spot spotKituko sio wa hivyo kaka
Spotlight hit on higher level.Kaka kituko sio wa spot spot
Level za mziki wa mbele zipo juu, bongo fleva bado wakusua suaSpotlight hit on higher level.
Vilee vikue viliwe.Sua ndio chuo gani vilee
Auu atakuwa club!?Toxic9 msikilize atug huku basi, sijui gbefa mdogo wangu kaenda wapi jamani na pacha nae bando la chuo limeisha auu
nimewamiss humu ndani Ila Leo nipo kunyonya dah ukirudi home visanga vya kupika na kuchota maji hadi simu unasahau kwa kweli niwatakie jumapili njema na wiki end njema tufanye ibada wale wa ibada wale wa starehe na refreshment pia Ila tusimkwaze Allah/God kila la kheri..ALLAH/GOD. ...MOLA RHABUKA AKUBARIKI NCHI YETU TANZANIA MILELE YOTE AMEN RAAuu atakuwa club!?![]()
nimewamiss humu ndani Ila Leo nipo kunyonya dah ukirudi home visanga vya kupika na kuchota maji hadi simu unasahau kwa kweli niwatakie jumapili njema na wiki end njema tufanye ibada wale wa ibada wale wa starehe na refreshment pia Ila tusimkwaze Allah/God kila la kheri..
Amen ra shekhe wetuALLAH/GOD. ...MOLA RHABUKA AKUBARIKI NCHI YETU TANZANIA MILELE YOTE AMEN RA
Nani zaidi ya aliyekuwepo? Kwa Tanzania ni ngumu sana kunyima aliyekuwepo sasaMtarajiwa raisi 2020 otea atakuwa nani
Baraka ndiyo tuyayoihitaji zaidi ya chochote katika hichi kipindiKesho ibada muhimu mkuu, wazungu wanasema hivi, ukiitumia vizuri jumapili kwa kuomba basi week itakuwa ni ya baraka![]()
Wenyewe si ndio nyie wakinamamaKitchen party mie sio muumini kabisa mambo ya mule yana wenyewe
kukemea maovu ndio ujenzi wa yaliyo mema....Wake udhaifu ni wa kukemea