Mpango kazi wa leo umeenda poaAmarula ndiyo mpangoView attachment 462321
Mpango gani wa kutaka kuwaharibu watoto wa wenzio?Amarula ndiyo mpangoView attachment 462321
Poa kweli mtu anataka kukuaribu na pombe?Mpango kazi wa leo umeenda poa
Wenzio leo wameenda wapi mkuu, habari za weekend yakoMpango gani wa kutaka kuwaharibu watoto wa wenzio?
Pombe mie situmiagi kabisa mkuu wala usiwe na hofuPoa kweli mtu anataka kukuaribu na pombe?
Hofu na mashaka ni kwake sweetheart Toxic9Pombe mie situmiagi kabisa mkuu wala usiwe na hofu
Toxic9 msikilize atug huku basi, sijui gbefa mdogo wangu kaenda wapi jamani na pacha nae bando la chuo limeisha auuHofu na mashaka ni kwake sweetheart Toxic9
Toxic9 ndiyo nimekuja, nimesikia sauti kubwa ikiniitaHofu na mashaka ni kwake sweetheart Toxic9
Toxic9 ndiyo nimekuja, nimesikia sauti kubwa ikiniitaHofu na mashaka ni kwake sweetheart Toxic9
Poa sana mkuuMpango kazi wa leo umeenda poa
Wenzio wanakunywa Amarula ndugu yangu, bia hapana kwa kweliMpango gani wa kutaka kuwaharibu watoto wa wenzio?
Pombe magufuli raisi wangu kabambePoa kweli mtu anataka kukuaribu na pombe?
Pombe ukiendekeza inaharibu mipango yako ya baadaePoa kweli mtu anataka kukuaribu na pombe?
Yako inakwendaje mie w.end nimebanwa na kaziWenzio leo wameenda wapi mkuu, habari za weekend yako
Yako ngumi naiogopaWenzio leo wameenda wapi mkuu, habari za weekend yako
Hofu kuu kukumic kwenye shughuli ya kitchen partyPombe mie situmiagi kabisa mkuu wala usiwe na hofu
Hofu imetanda baada mvua ya vuli kugoma kunyeshaPombe mie situmiagi kabisa mkuu wala usiwe na hofu
toxic9 naona amebanwa sijui majukumu au wifi kakamatia chiniHofu na mashaka ni kwake sweetheart Toxic9
Au unalala sahivi mkuuToxic9 msikilize atug huku basi, sijui gbefa mdogo wangu kaenda wapi jamani na pacha nae bando la chuo limeisha auu