Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Basi usijali mwaya atakuja, yupo ana project akimaliza atarudi. Mwenyewe nimemmiss sanaWapi qlipo supermarket mwenye taarifa zake anijuze ninamiss ad basi
Basi usijali mwaya atakuja, yupo ana project akimaliza atarudi. Mwenyewe nimemmiss sanaWapi qlipo supermarket mwenye taarifa zake anijuze ninamiss ad basi
Tu haahhahahhaha unamsingizia jamaniMjengo upi tena jamanii, toxic9 nae ni wale wale tu
Sijapanda basi la kilimanjaro kutoka Manyara muda mrefu
Sana unaniambia tarifa za kueleweka au nawe wahisi kama mimi?Basi usijali mwaya atakuja, yupo ana project akimaliza atarudi. Mwenyewe nimemmiss sana
Nimewamiss hata mie jamaniTena jamani hpana!!! Me mzima buehri wa afya furaha yangu kuwaona tena mkiwa wazima sana goldie ink Kituko toxic9 gbefa ukhty@sakayo Blaki Womani na ambao nimewasahau nimewamiss
Jamani siwezi msingizia mtoto wa mwanamke mwenzanguTu haahhahahhaha unamsingizia jamani
Mwenzangu shemeji yangu Kituko kanichuniaJamani siwezi msingizia mtoto wa mwanamke mwenzangu
Mungu baba anatupenda sana sisi binadamuWatoke ni aina yake kabisa namna kinyonga wanapo zaliana na hapo ndipo tunapo usifu uumbaji wa Mungu baba,
Sakayo niko machooo
Jamani mbona mbio tenaJamani jamanii![]()
Mungu baba anatupenda sana sisi binadamu
Nguvu ya sodaMachooo kodooo, naona unakodoa kwa nguvu
Mhhh me kanichunia nammention n bado ananichunia me mwanamke ajue natakiwa nikimnunia na mm atajutraKanichunia hata mie jirani, ila wewe shem ake Mmmh
Tena nawahi wali mbeleJamani mbona mbio tena
Ijayo n kubwa kuliko iliyoisha nipo sanaaa kuanzia leoTena akienda huyo harudi humu mpk wiki ijayo
Nguvu ya soda