Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
Mkuu umekumbwa na tungo tata ya viongozi wetu subiri tani 1.5 zitakufikiaKubwa sana siwezi kukuridhisha maana nina Njaa sana mkuu
Mkuu umekumbwa na tungo tata ya viongozi wetu subiri tani 1.5 zitakufikiaKubwa sana siwezi kukuridhisha maana nina Njaa sana mkuu
Mkuu Nimekumisslavuzi ni lugha ya mtaaniNimekumisslavuzi ndio lugha gani mkuu
Zoezi la kupunguza tumbo ni gumu sanaKufika kilele cha mt. Kilimanjaro unahitaji kufanya zoezi
Zitakufikia muda si mrefu maana tayari nimezituma ila net-work inasumbua sana huku nilikoMkuu umekumbwa na tungo tata ya viongozi wetu subiri tani 1.5 zitakufikia
Siku ya leo imekua nzuri sana kwangu, alhamdulillahKufika kunako kunahitaji ujuzi wa khali ya juu kwa kweli maana utalalamikiwa tu mwisho wa siku.
Alhamdulillah hatimae tumeimaliza siku salamaSiku ya leo imekua nzuri sana kwangu, alhamdulillah
Salama huko uliko SakayoAlhamdulillah hatimae tumeimaliza siku salama
Sakayo kwa upande wangu niko buheri wa afya mkuu, sijui upande wako hukoSalama huko uliko Sakayo
Huko hamjambow nilikuwa bize sana leo na ubaya wa haka ka mchezo ketu ukikaanza hutakiwi kuweka simu chiniSakayo kwa upande wangu niko buheri wa afya mkuu, sijui upande wako huko
Huko uliko siyo Salama kwa maisha ya ni binadamuSakayo kwa upande wangu niko buheri wa afya mkuu, sijui upande wako huko
Chini inabidi uweke simu yako maana yapo mengi ya muhimu zaidiHuko hamjambow nilikuwa bize sana leo na ubaya wa haka ka mchezo ketu ukikaanza hutakiwi kuweka simu chini
Imetawala vumbi na kiangazi kikali sanaHuko uliko siyo Salama kwa maisha ya ni binadamu
Mimi niko poa sana tu mkuu ila Njaa tu huku imetawala
Sana tu mkuu ila hatuna namna inabidi tukabiliane na hii khali kwa namna moja ama nyingineImetawala vumbi na kiangazi kikali sana
Nyingine ni kutafuta mbinu za kukabiliana na tatizoSana tu mkuu ila hatuna namna inabidi tukabiliane na hii khali kwa namna moja ama nyingine
Tatizo ni kubwa sana watu tunashindia uji tu na utendaji kazi umeshuka kiwango aiseee!!Nyingine ni kutafuta mbinu za kukabiliana na tatizo
Zamilun Zamilun amekuwa adimu sana msimu huu, supermarket naye aliaga yuko kwenye project muhimuSANA zz nimekumisi sana wapi super market
Baunsa halii njaaTatizo ni kubwa sana watu tunashindia uji tu na utendaji kazi umeshuka kiwango aiseee!!
Njaa Haina Baunsa
Muhimu sana wewe mtu wangu wa wanguvu kukuona humu i miss u, let the world know how much i miss youZamilun Zamilun amekuwa adimu sana msimu huu, supermarket naye aliaga yuko kwenye project muhimu