Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Sawa kiongoziSerikali inawapenda sana watumishi wote, msiwe na hofu mambo yatakaa sawa
Sawa kiongoziSerikali inawapenda sana watumishi wote, msiwe na hofu mambo yatakaa sawa
Hasara ni kawaida kwa wakati huu wa kiangaziShamba na ukame wote huu ni full hasara
Hasara ya kuwa na mwanamke tegemezi ni kubwa sana kwa usawa huuShamba na ukame wote huu ni full hasara
Pesa tutazivuna endapo tutalima mazao yanayostahimili hali ya kiangaziWakulima mheshimiwa kawahakikishia ni muda wenu huu wa kuvuna pesa
Shemela hiyo imekujajeKufika kileleni ni ishu, wewe mwanadada shemela upo, we miss you sana aisehhh shemela
Asiyekupenda achana nae huyo, fanya mambo mengineHamna kitu kinauma kama kumpenda mtu asiyekupenda,
Utamjuaje?? Matendo yake tuuAsiyekupenda utamjuaje?
Imekujaje??? Utaelewa tyuuShemela hiyo imekujaje
Tyuuuu hatari ndio lugha ya wapiImekujaje??? Utaelewa tyuu
Tuu? Bila maneno? Nadhani vyoteUtamjuaje?? Matendo yake tuu
Tuuuu usimzingue shemela wanguUtamjuaje?? Matendo yake tuu
Wapi ulikokuwa wewe hadi lugha umenisahauTyuuuu hatari ndio lugha ya wapi
Vyote huenda pamojaTuu? Bila maneno? Nadhani vyote
Wangu hayupo mbaliTuuuu usimzingue shemela wangu
Mbali ipi unasemeaWangu hayupo mbali
Pamoja mtatatua hilo tatizo na atabadirika tu na mwisho atakupenda kwa maneno na vitendoVyote huenda pamoja
Umenisahau mimi ni yueyule tukisomaga kidato kimojaWapi ulikokuwa wewe hadi lugha umenisahau
Vyote vizuri shem langu i miss yuhTuu? Bila maneno? Nadhani vyote
Unasemea mikoani au hapo hapo ulipo, nilipo yupoMbali ipi unasemea
Vitendo vyake ni changamoto kabisaPamoja mtatatua hilo tatizo na atabadirika tu na mwisho atakupenda kwa maneno na vitendo