gbefa
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,807
- 15,846
Bange ni haramu TanzaniaJamani haka kanchi tukauze tugawane hela tukanyongee bange
Bange ni haramu TanzaniaJamani haka kanchi tukauze tugawane hela tukanyongee bange
Wewe tu kwa kunitia moyo haujambo ila nashukuru maana akufaaye kwa dhiki ndiye rafikiJamani usiseme hivyo mdogo wangu, mie penda wewe tuu
Loosing side, aaaah broh don't stay there come to my winning sideTuu tuu mtu na mdogo wake, okey nyie mimi siwawezi tena, nimejaribu kunyayua mikono kuashiria am a loosing side
Winning side ni simba tuLoosing side, aaaah broh don't stay there come to my winning side
Simba tu!? Wewee hata Azam piaWinning side ni simba tu
Huko simiyu mheshimiwa magufuli anatoa neno mkutano wa hadharaPia na piala walikua maacha nilisma nao shule ya msingi,,,uzur niliwamega wte kisela maaana walikua sio kwa kufafana huko
Hii ndo mida yao ya kutumbuliwa.Huko simiyu mheshimiwa magufuli anatoa neno mkutano wa hadhara
Mida hii
Kiboko ni mnyama anayeishi kwenye maji na nchi kavu anakula nyama na majani, ni Jamii ya carnivorous. Kwa kiingereza anaitwa hippopotamus.Tatizo unaitafutaje pesa huku una njaa hii kiboko
Kinyonga jike akizaa ni lazima apasuke tumbo na kufa na watoto ndio hutoka yaani ndio mfumo wake wa kuzaa, kweli mwenyezi mungu ni wa ajabu ameumba viumbe wa ajabu mno.4g sometime inakuwa geresha spidi inakuwa ile ile ya kinyonga
Mno ndio nini?Kinyonga jike akizaa ni lazima apasuke tumbo na kufa na watoto ndio hutoka yaani ndio mfumo wake wa kuzaa, kweli mwenyezi mungu ni wa ajabu ameumba viumbe wa ajabu mno.
Watoke ni aina yake kabisa namna kinyonga wanapo zaliana na hapo ndipo tunapo usifu uumbaji wa Mungu baba,Mno, yaani mama kinyonga "ana-sacrifice" uhai wake ili watoto watoke!
Baba wa Bwana wetu Yesu KristoWatoke ni aina yake kabisa namna kinyonga wanapo zaliana na hapo ndipo tunapo usifu uumbaji wa Mungu baba,
Yesu kristo mwana jahBaba wa Bwana wetu Yesu Kristo
Jah blessing you my home boy, vipi upo pouwa?Yesu kristo mwana jah
Pouwa nipo mm, cjui nyinyi rafiki zangu Wa jfJah blessing you my home boy, vipi upo pouwa?
Jf ni bomba kuliko Facebook ya mamaafacebookPouwa nipo mm, cjui nyinyi rafiki zangu Wa jf