Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,959
Vyuo vya wapi? Maana kama ni vya China havijaanza leoLugha ya kichina kwa sasa inafundishwa kwenye baadhi ya vyuo
Vyuo vya wapi? Maana kama ni vya China havijaanza leoLugha ya kichina kwa sasa inafundishwa kwenye baadhi ya vyuo
State of Kuwait ndiyo inaongoza kwa tajiri wa fedha taslimu ktk ulimwengu wa tatu....!!Vyuo vikuu vyetu ni tofauti kabsa na vyuo vyote vya united state
Leo nimemfagilia kiongozi wa chama tawala.....Vyuo vya wapi? Maana kama ni vya China havijaanza leo
chama tawala marekani ni republican.Leo nimemfagilia kiongozi wa chama tawala.....
Republican ni jamhuria kwa waswahili ni mfumo wa wananchi !!chama tawala marekani ni republican.
wananchi wa jamhuri ya muungano wa tanzania.Republican ni jamhuria kwa waswahili ni mfumo wa wananchi !!
Tanzania ni nchi yenye vivutivo vingi vya kitalii na kilimo.... !!!wananchi wa jamhuri ya muungano wa tanzania.
kilimo ambacho kwa karibu asilimia kubwa kinategemea jembe la mkono.Tanzania ni nchi yenye vivutivo vingi vya kitalii na kilimo.... !!!
Kilimo cha kitanzania hakivutiiTanzania ni nchi yenye vivutivo vingi vya kitalii na kilimo.... !!!
Hakivutii kilimo nchini kwa sababu za Siasa chafu na zenye maficho kama kucha za chui.....!!Kilimo cha kitanzania hakivutii
Chui ni mmoja kati ya wanyama wenye rangi ya kuvutiaHakivutii kilimo nchini kwa sababu za Siasa chafu na zenye maficho kama kucha za chui.....!!
Kuvutia wataliiChui ni mmoja kati ya wanyama wenye rangi ya kuvutia
Watalii wa nje wengi wamesitisha ujio wa safari kutokana na gharama kupandishwa ghafla..Kuvutia watalii
Ghafla tuu ili kukuza pato na uchumi wa taifa eti hivi ni ya kweli hayooWatalii wa nje wengi wamesitisha ujio wa safari kutokana na gharama kupandishwa ghafla..
Hayo ndiyo ya uhakika ktk mjadala wote wa sakata !!!Ghafla tuu ili kukuza pato na uchumi wa taifa eti hivi ni ya kweli hayoo
Sakata lenyewe halieleweki, habari za siku mbili tatu mkuuHayo ndiyo ya uhakika ktk mjadala wote wa sakata !!!
Maisha yenyewe haya bwana mafupi..mkuu,achana na sakata hilo na lile pia wee kula maisha
..mafupi sna,hamna haja ya kujikuta mandela uishi tu simple basi hakuna jinsi nyingineMaisha yenyewe haya bwana mafupi
Nyingine ni hii mpya ilojitokeza..mafupi sna,hamna haja ya kujikuta mandela uishi tu simple basi hakuna jinsi nyingine