Usiogope Blaki WomaniMoja ya vitu naogopa kusafiri kwenye maji
Sasa kama sijui kuogelea yanini kwenda kujaribu sumu kwa kulambaMaji unaogopa?ha haha labda hujui kuogelea japo inapotokea ajali hata kama unajua kuogelea unaweza kufa vile vile,,,kwenda unguja Mara ya mwsho niliacha 20000 Kilimanjaro express ya azam na 13000 lile kajamba nani. Cjajua kwa sasa
Sasa nitafautishie bandari gani ndio uwa wanaita karibu Zanzibar ndio nataka nifike hapo nijue je ni unguja au pembaMaji unaogopa?ha haha labda hujui kuogelea japo inapotokea ajali hata kama unajua kuogelea unaweza kufa vile vile,,,kwenda unguja Mara ya mwsho niliacha 20000 Kilimanjaro express ya azam na 13000 lile kajamba nani. Cjajua kwa sasa
Usiogope Blaki Womani
Blaki womani na wana family morning
Sasa nitafautishie bandari gani ndio uwa wanaita karibu Zanzibar ndio nataka nifike hapo nijue je ni unguja au pemba
Kunukia kwa marashi ya Pemba hakuwezi shinda ya wasomalipemba kuna marashi /uturi wa kunukia
Kweli tupo pouwa bwana gbefa, vipi wewe na dada ako sakayo wazima?Wadau mko poa kweli!?
Salama kabisa mdadaKweli mmeamka salama
Morning to you bwana johnsonmgayaBlaki womani na wana family morning
Kulamba lamba pia sio, na inashauriwa kiafya ni mbaya, msipende kulamba lamba sana kuleeeeeeSasa kama sijui kuogelea yanini kwenda kujaribu sumu kwa kulamba
Wapi gbefa mdogo wangu, vipi mitihani?Salama dada Ukhuty nimekumiss humu sijui ulipotelea wapi
Pemba kwa urojo ni noma sheheSasa nitafautishie bandari gani ndio uwa wanaita karibu Zanzibar ndio nataka nifike hapo nijue je ni unguja au pemba
Nitajaribu kuto watenga, nitajaribu mara zote kuwakumbuka nyie ni ndugu zangu from another familynitajaribu
Kulamba lamba pia sio, na inashauriwa kiafya ni mbaya, msipende kulamba lamba sana kuleeeeee