dem boyz
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 7,384
- 16,983
Mkuu kweli enzi hizo watu walikuwa vichwa hatare akina Einstein enzi zao waliumiza vichwa ku invent mambo ya mana siku hizi ma invents tuliokuwa nao eti ndo hawa wa wagunduzi wa facebook,watsap sijui nini na nini,yani ujinga ujinga[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Zamani hizo hakuna mpya mkuu