Ruqaiyah
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 1,118
- 1,483
Nini?? Hujui kweli ama ndo gia za kua mshindiNdondo? Ndiyo nini
Nini?? Hujui kweli ama ndo gia za kua mshindiNdondo? Ndiyo nini
Mshindi hapatikani kiujanja ujanja ivyo,ndondo ni maharage ya mbeyaNini?? Hujui kweli ama ndo gia za kua mshindi
Mbeya nako bhana,,,nmepapenda SBU ya hali ya hewa Ila vijana weng pale ni weusi sana sijui ni wasafa au wazambia?Mshindi hapatikani kiujanja ujanja ivyo,ndondo ni maharage ya mbeya
Wazambia wananyapia nyapia madada wa mbeya na baada ya "kwichi,kwichi,kwichi" mimba then toto linatoka black balaaMbeya nako bhana,,,nmepapenda SBU ya hali ya hewa Ila vijana weng pale ni weusi sana sijui ni wasafa au wazambia?
Balaa linakuja kwenye kulea baba mtoto akitimka kurud kwaoWazambia wananyapia nyapia madada wa mbeya na baada ya "kwichi,kwichi,kwichi" mimba then toto linatoka black balaa
Huku kwetu kuna wingu zito sana limetanda leo hasubui mpaka tukashindwa kwenda makazini tukiofia leo ni ghalika, lakin nilivyoingia ndani tu nakutoka sijui hata lilipotelea wapi.. Sasa hivi jua linapigaa utadhani tuko jehanamuMakapuku tupo shehe, napamba na hali yangu shehe, vipi huko kwenu mnatunyima nini hasa
Jehanamu afadhali kungekuwa na jua,kuna moto Kule nduguHuku kwetu kuna wingu zito sana limetanda leo hasubui mpaka tukashindwa kwenda makazini tukiofia leo ni ghalika, lakin nilivyoingia ndani tu nakutoka sijui hata lilipotelea wapi.. Sasa hivi jua linapigaa utadhani tuko jehanamu
kushindana ni lazima na mimi ndio mshindiNdugu zanguni naoneni bado mnakomaa kushindana
Kushindana kwa vitu vya kipuuzi kama hvi ni ujingaNdugu zanguni naoneni bado mnakomaa kushindana
Kushindana na faiza foxy kiswahili utaambiwa "hiyo shule ulienda kusomea ujiinga"!Ndugu zanguni naoneni bado mnakomaa kushindana
Halaf wale wadada wanaowavua mabwana zao KOFIA alafu wanakimbia nayo thinking its FUNNY and ROMANTIC.. Hiv nyie mkivuliwa MAWIGI wakakimbia nayo mtajiskiaje?
naliaNalia kwa uchungu sana kila nikikumbuka matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
nalia
Nalia na maumivu yangu nateseka na nafsi yangu kisa ni yule, vipi hamjambo wote humu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
nalia
Mwaka 2015 utabaki kuwa wa kihistoriaNalia kwa uchungu sana kila nikikumbuka matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015
Humu tuko poa sana sema wewe uliyepotea kwa muda siku yako imekwishajeNalia na maumivu yangu nateseka na nafsi yangu kisa ni yule, vipi hamjambo wote humu
Kihistoria binadam wa kwanza alitokea tanzaniaMwaka 2015 utabaki kuwa wa kihistoria