Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
Baridi ipo mbeya na iringa banah
banah hata mikoa ya Arusha na Manyara wakati wa masika baridi haswa lakini sio kama mikoa tajwa
Baridi ipo mbeya na iringa banah
Asubuhi njema sheheMkuu za asubuhi
Haya basi tupunguziane utajiri si unajua tupo karibu, njoo nina bonge la business proposal lets put money on table
Hivyo hivyo kama wewe ndugu ulivyopotea, brother wenu nipoYupo wapi mbona kapotea hivyo?
money on the table? labda kwa kuziona kwa cashier wa bank
Huku upo jf ukhutyNipo wapi huku
Banah uko ndio kwetuBaridi ipo mbeya na iringa banah
Jina lako zuri eti ukhutyUkhuty ndio jina lako
Nimelipanda sana ingawa sielewi maana yake, hivi ni la kiarabu au??Ukhuty popote ulipo jina lako nimelipenda
Nimelipenda hili tangazo.... Kama uko nje ya eneo ndo vile tenaUkhuty popote ulipo jina lako nimelipenda
blanketi la sufi nzuri sana haswa kipindi cha baridi
hivyo ndio ujue shilingi haishikiki hata ya bando
Njema kaka, na wewe vipi? Chips kuku kwa massawe bado zipo au umeshahamia kwa mama niwekee wali ndondo?Blanket na joto lote ili mkuu, mkuu kazi njema