dem boyz
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 7,340
- 16,909
Dem boy kwa usiku wa leo ndo mshindi,hollyweed ndo wapi?ntakwambia kesho gbefaHollyweed ndo wap dem boy
Dem boy kwa usiku wa leo ndo mshindi,hollyweed ndo wapi?ntakwambia kesho gbefaHollyweed ndo wap dem boy
Peace And LoveGbefa bado yupo macho nyie wote mmekuwa nusu hai nusu mauti.. Sakayo sijui unaota ndoto gani dada, toxic najua ujalala uko bize na shughuli ya usiku, stacia amelala, Ukhuty analinda ndoa, dem boy anakoloma,,,, mmegeuka vituko jamani ngoja na Mimi nisleep in peace..
Peace na upendo huambatana ili mwanadamu aishi kwa furaha lakini ni vigumu kwa sasa ndio maana kila siku vitaGbefa bado yupo macho nyie wote mmekuwa nusu hai nusu mauti.. Sakayo sijui unaota ndoto gani dada, toxic najua ujalala uko bize na shughuli ya usiku, stacia amelala, Ukhuty analinda ndoa, dem boy anakoloma,,,, mmegeuka vituko jamani ngoja na Mimi nisleep in peace..
Peace na upendo huambatana ili mwanadamu aishi kwa furaha lakini ni vigumu kwa sasa ndio maana kila siku vita
Yupo wapi mbona simuoni mkuu
Brother yupo
Vita ya kutafuta kipato ndio imeanza sasa, umeshaamka?
gbefa keshaamka au bado anavuta blanketi?
Yupo wapi mbona kapotea hivyo?
View attachment 460803
...........................If you judge people, you have no time to love them.
Asante na wewe pia my dear;shosti heri ya mwaka mpya
..dear znatolewa kwa matabaka tuAsante na wewe pia my dear;
Dear friends goodmorning to you all, hellow worldAsante na wewe pia my dear;

Bando wa kukosa wewe, wakati unagonga wine daily stress umeziweka chini.hivyo ndio ujue shilingi haishikiki hata ya bando
Baridi ipo mbeya na iringa banahblanketi la sufi nzuri sana haswa kipindi cha baridi
Bando wa kukosa wewe, wakati unagonga wine daily stress umeziweka chini.
Haya basi tupunguziane utajiri si unajua tupo karibu, njoo nina bonge la business proposal lets put money on tablechini kabisa sitaki kutembea nazo nani anataka kupata magonjwa mapema haya