Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Wote humu ndani jamani wazimaa, miss nyie saana.
Toxic9 jamani sio kwa ukimya huo, gbefa piga hesabu, namge mambo, demboy habari za wewe na wengine wooote jumatatu njema
Jumatatu njema kwako pia mkuu, me najianda kuingia katika chumba cha mtihani, mtihani wa somo la ugonjwa wa taifa Ila kwa Toxic9 ilikuwa maji ya kunywa tu enzi zake
 
5e3f448b8b4b75d4c43d68475ce3f9be.jpg
habarin za leo makupuku

Makapuku, unakimbilia wapi andika kwa kutulia shehe, kweli wewe kapuku mwenzangu
 
Kwake ndiyo kimbilio la wote, hata jambazi humwomba Yeye amsaidie asikamatwe!
 
Back
Top Bottom