Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
Ama! mie sio wa huko bana sijawahi wala kutamani kuingia hukoMdogo kama wewe, halafu black womani sikuonagi kwenye jukwaa letu kule la wa kubwa vipi ulipewa ban ama
Ama! mie sio wa huko bana sijawahi wala kutamani kuingia hukoMdogo kama wewe, halafu black womani sikuonagi kwenye jukwaa letu kule la wa kubwa vipi ulipewa ban ama
Wine itanitia genye banah, naigopa sana kama kipoozeo kipo mbali,unagonga white au red? Kweli naunga mkono hoja ya serikali kwamba hakuna njaa watu wanagonga mpaka wine my darling black womaniBanahh wewe bado muda wa kulala karibu wine

Wine itanitia genye banah, naigopa sana kama kipoozeo kipo mbali,unagonga white au red? Kweli naunga mkono hoja ya serikali kwamba hakuna njaa watu wanagonga mpaka wine my darling black womani![]()
![]()
namalizia kiporo cha xmass mkuu njaa ipoWakubwa wa humu jamvini hamjambo?, napita kuwatakia siku njemaLala unono rahabu, au tuhamie kule jukwaa la wakubwa
Ipo ipo tu![]()
namalizia kiporo cha xmass mkuu njaa ipo
Tu wanaweza kufanya katathmini kadogo na kuweza kugundua tatizo lipo mahali ganiIpo ipo tu
Njema sana shehe, usiku mwema mkuu, kwako pia sheheWakubwa wa humu jamvini hamjambo?, napita kuwatakia siku njema
Siku njema na kwako pia unapita kwenda wapi nikusindikizeWakubwa wa humu jamvini hamjambo?, napita kuwatakia siku njema
Shehe wangu nipo, lete mupya kakaNjema sana shehe, usiku mwema mkuu, kwako pia shehe
Imeisha mkuu ukulima taabu ukivuna wauza yote halafu unakwenza kununua kwa mfanyabiasha sasa naanza kusoma nambaNikusindikize kusaka chakula kama akiba yako imeisha
Nikusindikize wewe kama una mtoko wa jumatatuSiku njema na kwako pia unapita kwenda wapi nikusindikize
Namba za kusoma wanaJF wanasema zimeisha.Imeisha mkuu ukulima taabu ukivuna wauza yote halafu unakwenza kununua kwa mfanyabiasha sasa naanza kusoma namba
Madai yake yanasikilizwa na hakimu mfawidhi mahakama kuuZake enzi aliwakimbiza sana, kwa madai yake
Pacha habari za muda huu natumai majukumu yako uliyaetekeleza vyema, Niko poa nikutakie usiku mwema brotherBack to my fellow gbefa nikutakie Mtihani mwema ndugu yangu mpendwa best wishes to you, natarajia ufanye vizuri pacha
Yupo wapi mbona simuoni mkuuBrother yupo
Mkuu wa mkoa dsm naskia muigizaji hollyweedYupo wapi mbona simuoni mkuu
Hollyweed ndo wap dem boyMkuu wa mkoa dsm naskia muigizaji hollyweed