Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
Sana tena kama mnapenda kwa dhati na kama penzi alijaanza kuchujaSasa ni muda wa kupumzika, wenye vipoozea basi usiku huwa mtamu sana
Sana tena kama mnapenda kwa dhati na kama penzi alijaanza kuchujaSasa ni muda wa kupumzika, wenye vipoozea basi usiku huwa mtamu sana
Masharti magumu wakati wa kuanzisha kampuniSana tena kipoozeo kikiwa halali hakuna masharti
Kampuni inahitaji mtaji mkubwaMasharti magumu wakati wa kuanzisha kampuni
Masharti hapo ndipo sipatakiiiii, kipoozeo kinapo leta masharti kama sheria za Jamhuri ya Muungano sitakiiiiiiSana tena kipoozeo kikiwa halali hakuna masharti
Misukosuko ehhhhh nimekumiss wewe womani hatari, hujamboYangu simu imezingua toka jana imekubali baada ya misukosuko
Kuchuja kwa penzi unaweza data hati weee acha tu Black womaniSana tena kama mnapenda kwa dhati na kama penzi alijaanza kuchuja
Mkubwa kiasi inategemea na biashara unayotaka kufanyaKampuni inahitaji mtaji mkubwa
Sitakiii na simpendi mtu ambaye hafanyi kazi yake kwa uangalifu na wakatiMasharti hapo ndipo sipatakiiiii, kipoozeo kinapo leta masharti kama sheria za Jamhuri ya Muungano sitakiiiiii
Hujambo mtu wangu mambo ya hapa na pale tunajenga nchi na kupaka rangiMisukosuko ehhhhh nimekumiss wewe womani hatari, hujambo
Kufanya kumsahau mtu uliyemzoea ni ngumu sana Cc: sakayoooo nakusalimia upo ulipo uwe na usiku mwemaMkubwa kiasi inategemea na biashara unayotaka kufanya
Black womani anafurahia leo apps inaleta notification kwa raha zetuKuchuja kwa penzi unaweza data hati weee acha tu Black womani
Rangi yako tu inanikosha hutumiagi mkorogo kipenzi, yani ni natural black what a woman dah, halafu ulipotea sana au mambo ya kipoozeo kimekuganda jamani kipenziHujambo mtu wangu mambo ya hapa na pale tunajenga nchi na kupaka rangi
Usiku mwema nawe ulale unonoKufanya kumsahau mtu uliyemzoea ni ngumu sana Cc: sakayoooo nakusalimia upo ulipo uwe na usiku mwema
Kipenzi chako atug amepotelea wapi au ndio talaka 3 kwa mpigoRangi yako tu inanikosha hutumiagi mkorogo kipenzi, yani ni natural black what a woman dah, halafu ulipotea sana au mambo ya kipoozeo kimekuganda jamani kipenzi
Unono unono unono unono jamani wote muwe na usiku mwema, black womani ulale banahUsiku mwema nawe ulale unono
Banahh wewe bado muda wa kulala karibu wineUnono unono unono unono jamani wote muwe na usiku mwema, black womani ulale banah
Lala unono rahabu, au tuhamie kule jukwaa la wakubwaUnono kinyume na lala
Jukwaa la Wakubwa waenda kufanya nini wakati wewe mdogoLala unono rahabu, au tuhamie kule jukwaa la wakubwa
Mdogo kama wewe, halafu black womani sikuonagi kwenye jukwaa letu kule la wakubwa vipi ulipewa ban amaJukwaa la Wakubwa waenda kufanya nini wakati wewe mdogo