T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,934
- 30,093
Njema sana kama utakuwa una hela dunia hii na Jamiiforums kwa ujumla.Kwake kwa kila mmoja niwatakie jioni njema,
Njema sana kama utakuwa una hela dunia hii na Jamiiforums kwa ujumla.Kwake kwa kila mmoja niwatakie jioni njema,
Mbali sana kufikia kileleniUjumla wa sentensi katika hii thread utafika mbali
Ziada bila kupuuzia mkuuKileleni kufika kunahitaji nguvu ya ziada
Wewe ni mrembo sana ukhutyMkuu upo wew
Wewe upo pia au unapika mkuu? Mimi nipo mkuu najaribu to buy time humu kabla ya kulalaMkuu upo wew
Ukhuty anakuchanganya kabisa mkuu, pambana mkuu usimkoseWewe ni mrembo sana ukhuty
Usimkose ukhuty!!!Ukhuty anakuchanganya kabisa mkuu, pambana mkuu usimkose
Ukhuty anakusikia, ngoja atakuja kutolea maelezo hoja yakoUsimkose ukhuty!!!
Inaelekea zitapigwa hapa kwani kila mtu anammendea ukhuty
Yako yangu, yangu yangu.Ukhuty anakusikia, ngoja atakuja kutolea maelezo hoja yako
Nimeisahau katika mfuko wa shatiYangu hoja nimeisahau
Yangu ni yangu na yako ni yanguYako yangu, yangu yangu.
Sasa ni muda wa kupumzika, wenye vipoozea basi usiku huwa mtamu sanaShati la maua maua au bahamamama ndo habari ya vijana wa zamani au wazee wa sasa
Sana tena kipoozeo kikiwa halali hakuna mashartiSasa ni muda wa kupumzika, wenye vipoozea basi usiku huwa mtamu sana
Nimeisahau buku ten yangu kwenye mfuko wa pensi yangu, hujaionaYangu hoja nimeisahau
Yangu simu imezingua toka jana imekubali baada ya misukosukoYangu ni yangu na yako ni yangu