Miyeyusho tu nothing meant, hujambo lakiniKwel inakua kama mlivyosema au miyeyusho
Wewe Umeamkaje lakinii mkuuNamba unazijua wewe?
Mimi sijamboInanihusu pia, mwenyekiti usifunge kikaoo bila mimi
Hakaniagi ka mtoto auLakini mr Johnsonmgaya umenifurahisha kumkumbusha sakayo kuniaga maana kanaondoka hata hakaniagi
Sana hicho kiburi kimetokana na nini sasaSana si mdogo kihivyo, sema sakayo anakiburi sana
Alainike na niniSana,ila pacha mtoto sakayo unamzimia kweli kweli kesho akirudi kanisani itabidi mimi gbefa tumuandame mpk alainike
Kieleweke ambacho kinamfanya akukataeAlainike mtoto mgumu kama nini, ila sakayo anapenda kubembeleza nitajipanga upya mpaka kieleweke
Kweli mdogo wangu gbefa umeamua kunigeukaAlainike![]()
![]()
![]()
poa maana nikimsaidia Toxic9 na yeye atanipa Mdogo wake tu kwa kweli
Kesho hiyo haifiki, na Sakayo hamumpatiCross yenyewe cross dongo tena Johnson toa gari hiyo mimi na gbefa tutachangia mafuta pocket money anayo mwenyewe lazma pacha ung'oe sakayo keaho
Toxic9 ujumbe wako nimeupataAishah2016 na wadau usiku mwema tukutane tena kesho namuwahi Sakayo kabla hajasinzia nimpe ujumbe wake toka kwa toxic9![]()
![]()
Kesho ni jumatatu ya tatu ya mweziKesho andaeni mpunga mrefu wa mafuta gari lenyewe si unaliona mnyama benzino pale kati, damn, sakayo kazi anayo kesho![]()
![]()
![]()
Shehe tena, basi sawaCrossusije ukapiga cross mwenyewe na ukafunga goli mwenyewe hahahaha we jamaa yangu mjanja mjanja bwana johnsonmgaya, habari za asubuhi shehe
Pacha ameamka salama I hope, mie niko buheri wa afyaKesho ndiyo leo pacha, sakayo mimi nitazidi kupiga zoezi la kumonyesha nampenda kimwana hatutakata tamaa pacha za asubuhi pacha
Humu wazimaToxic9 nilisinzia mapema shehe hata sikuaga shehe samahani shehe, za asubuhi wadau wote humu
Kweli mmenipania, sio kwa mipango hiyo, NgastukaaKesho imeshafika huyu kimwana sakayo anakazi kweli kweli, anatuumiza kichwa hivi kweli
Sijambo za wewMiyeyusho tu nothing meant, hujambo lakini
Ngastukaa machale kundesaaKweli mmenipania, sio kwa mipango hiyo, Ngastukaa
