Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Mwafaaa eeeeh, mpaka tuombe pooYetu macho kwani hatujui anakotupeleka zaidi ya matamko ya kuvunja moyo mwafaaa
Mwafaaa eeeeh, mpaka tuombe pooYetu macho kwani hatujui anakotupeleka zaidi ya matamko ya kuvunja moyo mwafaaa
Mwezi wa pili ufike haraka tuYetu mapato yanaishia kwenye kula tuu huwezi fanya jambo la maendeleo kwa kipato cha mwezi
Haraka tu bado siku kumi na tanoMwezi wa pili ufike haraka tu
Tano Mara tano ishirini na tano nani anasema hesabu ngumu!?Haraka tu bado siku kumi na tano
Hesabu ngumu dadeki, arsenal kashinda spurs kashinda naona hii namba 6 imeniganda kama kupe mwenye njaaTano Mara tano ishirini na tano nani anasema hesabu ngumu!?
Mwenye njaa aelewiHesabu ngumu dadeki, arsenal kashinda spurs kashinda naona hii namba 6 imeniganda kama kupe mwenye njaa
Ngumu kama hujui kucheza na nambaTano Mara tano ishirini na tano nani anasema hesabu ngumu!?
Namba mbna zinasomeka kwa ufasaha muhula huu! kila mtu anajua bado miaka mingapiNgumu kama hujui kucheza na namba
Mingapi vileee, jamani muwe na usiku tulivu woote mie nalala kesho misa ya kwanza inanihusuNamba mbna zinasomeka kwa ufasaha muhula huu! kila mtu anajua bado miaka mingapi
Misa ya kwanza inanihusu mimi pia usiku mwema mpe hi shemeji umemuaga mkuu toxic9 lakini?Mingapi vileee, jamani muwe na usiku tulivu woote mie nalala kesho misa ya kwanza inanihusu
Haelewi nini? kama kuna njaa?!Mwenye njaa aelewi
Namba unazijua wewe?Ngumu kama hujui kucheza na namba
Inanihusu pia, mwenyekiti usifunge kikaoo bila mimiMingapi vileee, jamani muwe na usiku tulivu woote mie nalala kesho misa ya kwanza inanihusu
Lakini mnawezaje kulala mapema hivi mbon mimi mwaka wa 3 au 4 sikumbuki ni siku gani nililala walau saa 5 nimewahi saa sita mpk saa tisa zikinipanda mpk asubui na nikitoka hapo naunga kwenye mishe mishe yaani full majangaMisa ya kwanza inanihusu mimi pia usiku mwema mpe hi shemeji umemuaga mkuu toxic9 lakini?
Majanga pacha, we acha tu, ila sakayo mtoto wa kike mwache alale mapema, sisi vidume tupige story changamsha genge pachaLakini mnawezaje kulala mapema hivi mbon mimi mwaka wa 3 au 4 sikumbuki ni siku gani nililala walau saa 5 nimewahi saa sita mpk saa tisa zikinipanda mpk asubui na niunga kwenye mishe mishe yaani full majanga
Full majanga kwa kweli shida kisa cha kusingizia ofisini ni nini mkuu mimi unajua kuwa kukosa usingizi pia ni ugonjwa, kapate tiba babuLakini mnawezaje kulala mapema hivi mbon mimi mwaka wa 3 au 4 sikumbuki ni siku gani nililala walau saa 5 nimewahi saa sita mpk saa tisa zikinipanda mpk asubui na niunga kwenye mishe mishe yaani full majanga
Majanga mapya hatuna field mwaka huu dah nshakosa hela sijui nitaishi vipi hyu mama ndalichako ni balaa tupuLakini mnawezaje kulala mapema hivi mbon mimi mwaka wa 3 au 4 sikumbuki ni siku gani nililala walau saa 5 nimewahi saa sita mpk saa tisa zikinipanda mpk asubui na nikitoka hapo naunga kwenye mishe mishe yaani full majanga
Hakaniagi tena? mbna kama kadogo dogo sanaaLakini mr Johnsonmgaya umenifurahisha kumkumbusha sakayo kuniaga maana kanaondoka hata hakaniagi

Balaa tupu pole sana jomba mama yule anakulaga pweza sana siku hizi na juisi ya ukwaju ndo maana yupo walu walu km mendeMajanga mapya hatuna field mwaka huu dah nshakosa hela sijui nitaishi vipi hyu mama ndalichako ni balaa tupu