gbefa
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,807
- 15,846
Tena Leo nafanya usafi nalala the whole day kesho kitu cha hesabu sijui ntanenepa lini dahNinyi ni kina nani tena
Tena Leo nafanya usafi nalala the whole day kesho kitu cha hesabu sijui ntanenepa lini dahNinyi ni kina nani tena
Wa kumoyo ndo ivoo tenaa, bi mkubwa ni shidaaa na mie karangi kangu ka chocolate kakitolewa na tindikali itakuwaje sasaHapa ndio penyewe mhmh umeenda mbali hujue dada usije kuwa unamaanisha tu... Sipendi itokee hivyo wangu wa kumoyo
Dah kumbe unatamani unene nduguTena Leo nafanya usafi nalala the whole day kesho kitu cha hesabu sijui ntanenepa lini dah
Sasa we unampenda au humpendi hebu funguka hapa tuone kwanza tufanyejeWa kumoyo ndo ivoo tenaa, bi mkubwa ni shidaaa na mie karangi kangu ka chocolate kakitolewa na tindikali itakuwaje sasa
Ndugu sio unene natamani mwili wangu wa sikuzote sio mnenen ila nakuaga na tunyamanyama kwa sababu ya mazoezi nakuwa mkakamavu ila sasa hivi mhmh mwili haupo hata kidogoDah kumbe unatamani unene ndugu
Hizi habari za njaa zinazidi kusikika kila sikuBinadamu wengi hawana utu tena siku hizi
Kila siku ndio mwaka huu chakula kitakuwa adimu mwaka Jana ilikuwa pesa mhmh sijui itakuajeHizi habari za njaa zinazidi kusikika kila siku
Aleykhuum salaam gbefa mzima weweTumsifu yesu kristo milele Amina, upande wa pili aslaam aleykhuum!?
Sio hivyo acha wasi wasi bi mkubwa atakuelewa tuIongezeke wapi tenaa unataka bi mkubwa animwagie tindikali sio
Itakuaje kama mvua ikija ya uharibifu??? Mungu atuepushe na tsunamiKila siku ndio mwaka huu chakula kitakuwa adimu mwaka Jana ilikuwa pesa mhmh sijui itakuaje
Tsunami kama Japan mhmh itakuwa majanga kweli mkuuItakuaje kama mvua ikija ya uharibifu??? Mungu atuepushe na tsunami
Mkuu yani kilicho baki ni kufunga kwa maombi, tumlilie Mungu aturehemu na majanga ya namna hyoTsunami kama Japan mhmh itakuwa majanga kweli mkuu
Hiyo itakuwa vizuri inabidi tujitoe kweli kweli aiseeMkuu yani kilicho baki ni kufunga kwa maombi, tumlilie Mungu aturehemu na majanga ya namna hyo
Aisee yan nikitafakari sijui tutakimbilia wap yakitufika shingoni....Hiyo itakuwa vizuri inabidi tujitoe kweli kweli aisee
Watakao ingia ni wateule.... Je na wew ni mteule??Mbingu ikifunguka ni wateule wa Mungu tu watakaoingia
Ataelewaaaa tu eeeh, ngoja niwaze ilaaSio hivyo acha wasi wasi bi mkubwa atakuelewa tu
Kidogo tu nishangae eti unapenda ubonge, usijali mwaya ukimaliza chuo mwili wako utarudiNdugu sio unene natamani mwili wangu wa sikuzote sio mnenen ila nakuaga na tunyamanyama kwa sababu ya mazoezi nakuwa mkakamavu ila sasa hivi mhmh mwili haupo hata kidogo
Tufanyeje kivipi tena jamanii, we unataka nimuache yule shemu wako wa siku nyingiii?????? Toxic9 nampenda sana ni mume wa dada yangu nitamuenzi daimaSasa we unampenda au humpendi hebu funguka hapa tuone kwanza tufanyeje