Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,814
- 51,467
Majanga kweli pacha, ila pacha mfumo upo hivi, ukichelewa kulala basi ule muda ni lazima utaufidia mahala kwa kusinzia, huwezi mtu ukakesha siku nzima hujalala na kesho tena hujalala hapo lazima utakua unasinzia eneo la kazi pacha na pia maradhi pacha kukosa kulala basi magonjwa nyemelezi yatakupataLakini mnawezaje kulala mapema hivi mbon mimi mwaka wa 3 au 4 sikumbuki ni siku gani nililala walau saa 5 nimewahi saa sita mpk saa tisa zikinipanda mpk asubui na nikitoka hapo naunga kwenye mishe mishe yaani full majanga