Anakiburi sana! wacha kesho aje tumkanye aishi na watu vizuri kama Aishah2016Sana si mdogo kihivyo, sema sakayo anakiburi sana
Bios shida sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] mambo ya kishikishana midudu ya ajabu ajabu tu, ndo MAANA nilichagua ECAMende alinipa tabu sana kipindi cha Advance level NATIONAL EXAMINATION wakati wa unafanya experiment kumpasua, alikua akichomoka unaanza kumkimbiza huku muda wa pepa unaenda PRACTICAL hiyo ya bios
Mpaka kieleweke si leo mkuu omba msaada tukupigie cross[emoji23] [emoji23]Alainike mtoto mgumu kama nini, ila sakayo anapenda kubembeleza nitajipanga upya mpaka kieleweke
Cross yenyewe cross dongo tena Johnson toa gari hiyo mimi na gbefa tutachangia mafuta pocket money anayo mwenyewe lazma pacha ung'oe sakayo keahoMpaka kieleweke si leo mkuu omba msaada tukupigie cross[emoji23] [emoji23]
Aishah2016 na wadau usiku mwema tukutane tena kesho namuwahi Sakayo kabla hajasinzia nimpe ujumbe wake toka kwa toxic9 [emoji113] [emoji113]Anakiburi sana! wacha kesho aje tumkanye aishi na watu vizuri kama Aishah2016
Kesho andaeni mpunga mrefu wa mafuta gari lenyewe si unaliona mnyama benzino pale kati, damn, sakayo kazi anayo kesho [emoji23] [emoji23] [emoji23]Cross yenyewe cross dongo tena Johnson toa gari hiyo mimi na gbefa tutachangia mafuta pocket money anayo mwenyewe lazma pacha ung'oe sakayo keaho
Kesho mbona inafika muda si mrefu bado dakika 15Kesho andaeni mpunga mrefu wa mafuta gari lenyewe si unaliona mnyama benzino pale kati, damn, sakayo kazi anayo kesho [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dakika 14 zimebakiKesho mbona inafika muda si mrefu bado dakika 15
Zimebaki 13[emoji6]Dakika 14 zimebaki
Zimebaki 11Zimebaki 13[emoji6]
Zimebaki 9 nowZimebaki 11
Now 8Zimebaki 9 now
Namba zote tushazisoma mwaka jana , sijui mwaka huu tutazisoma zipi!! Shikamoo Magu8 ni namba
Magu wilaya? Au Magu mkulu?Namba zote tushazisoma mwaka jana , sijui mwaka huu tutazisoma zipi!! Shikamoo Magu
Cross[emoji23] usije ukapiga cross mwenyewe na ukafunga goli mwenyewe hahahaha we jamaa yangu mjanja mjanja bwana johnsonmgaya, habari za asubuhi sheheMpaka kieleweke si leo mkuu omba msaada tukupigie cross[emoji23] [emoji23]
Kesho ndiyo leo pacha, sakayo mimi nitazidi kupiga zoezi la kumonyesha nampenda kimwana hatutakata tamaa pacha za asubuhi pachaCross yenyewe cross dongo tena Johnson toa gari hiyo mimi na gbefa tutachangia mafuta pocket money anayo mwenyewe lazma pacha ung'oe sakayo keaho
Toxic9 nilisinzia mapema shehe hata sikuaga shehe samahani shehe, za asubuhi wadau wote humuAishah2016 na wadau usiku mwema tukutane tena kesho namuwahi Sakayo kabla hajasinzia nimpe ujumbe wake toka kwa toxic9 [emoji113] [emoji113]
Kesho imeshafika huyu kimwana sakayo anakazi kweli kweli, anatuumiza kichwa hivi kweliKesho andaeni mpunga mrefu wa mafuta gari lenyewe si unaliona mnyama benzino pale kati, damn, sakayo kazi anayo kesho [emoji23] [emoji23] [emoji23]