gbefa
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,807
- 15,846
Faru john bado yupo kwani!?Lini tunapanga safari ya Tarangire kumwangalia mdogo wake Faru John
Wakuu tuache utani kutembea ukubwani ni shida majukumu yanabana nashukuru mungu shule na scout imenisaidia kufika mbali sana hapa tz na baadhi ya nchi jirani