xav bero
JF-Expert Member
- Nov 24, 2016
- 5,133
- 7,352
Jumuia siku hizi wqnaanza na mada ya sadaka kabla ya kusaliChangamoto gani tenaa hiyo mamy, unataka kusema hapo ulipo hamna jumuia au majukumu ndo yanabana mpaka huendi jumuia
Jumuia siku hizi wqnaanza na mada ya sadaka kabla ya kusaliChangamoto gani tenaa hiyo mamy, unataka kusema hapo ulipo hamna jumuia au majukumu ndo yanabana mpaka huendi jumuia
Jumuia ya [color=]Afrika Mashariki[/color] tunafaidikaje nayoChangamoto gani tenaa hiyo mamy, unataka kusema hapo ulipo hamna jumuia au majukumu ndo yanabana mpaka huendi jumuia
Motisha ni kitu cha muhimu sana, nashangaa wafanyakazi leo hawapewi kabisa motishaHizo zilikuwa enzi zetu na pipi nyeupe ukitumwa dukani mwenye duka anakupa peremende kama motisha
Jumuia ya [color=]Afrika Mashariki[/color]tunafaidikaje nayo
Jamani nimetumia tafsida kupunguza ukali wa manenoUmeshananiliwa ndo nini mdogo wangu jamani
Hizo lawalawa daaah kitambo
Yako ratiba inaanzaje mkuu siku za weekend bila sala wala hainogi
Masika lini kwani maana nshapoteza networkHakuna kulima mahindi wala maharage hadi majira ya masika
Maneno mengine si mazuri kwa watu na heshima zaoJamani nimetumia tafsida kupunguza ukali wa maneno
Masika maharage huwa yanaharibika kwasababu ya maji mengi, maharage yanapenda mvua za vuliHakuna kulima mahindi wala maharage hadi majira ya masika
Maneno, acha maneno weka mzikiJamani nimetumia tafsida kupunguza ukali wa maneno
Haikuwepo nchi nzima, mpaka Januari hakuna mvua ya vuli, njaa ipo ila ya chini chini, serikali imeshasema hakuna njaaVuli mwaka jana 2016 huku kwetu haikuwepo
Network imekata, nenda kasome mdogo wanguMasika lini kwani maana nshapoteza network
Maneno yako yana ukakasiJamani nimetumia tafsida kupunguza ukali wa maneno
Na heshima zao haswaa kina sakayoManeno mengine si mazuri kwa watu na heshima zao
Wazee tena jamanii, nilikuepo saanaKitambo ulikuewpo wewe? Au umepata simulizi za wazee?
Ukakasi kivipi tena ndugu yanguManeno yako yana ukakasi
Wangu, wanasema usiige ku... kwa temboNetwork imekata, nenda kasome mdogo wangu