Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Damu ndio au wadhani mbegeDamu....
Damu ndio au wadhani mbegeDamu....
Amelala eh, basi ngoja nami nitoke kidogoBanah gbefa bado amelala
Kali ndio, halafu unatakiwa ujibu sentensi sio nenoKali....
MbegeDamu ndio au wadhani mbege

Kidogo kidogo ndiyo mwendoAmelala eh, basi ngoja nami nitoke kidogo
Mwendo wangu wa kumpenda sakayo ni wa kasi sana, ila amenitosa mbele ya hadhiraKidogo kidogo ndiyo mwendo
Kidogo hicho ndo nakiogopaAmelala eh, basi ngoja nami nitoke kidogo
Nakiogopa pia sijuwi kama kitakulizishaKidogo hicho ndo nakiogopa
Hadhira haina shida kama moyo ndo wajua ukweliMwendo wangu wa kumpenda sakayo ni wa kasi sana, ila amenitosa mbele ya hadhira
Inaendaje jumuiya? nimependa ratiba yako ubarikiwe sanaToxic9 hana jipya, chai tayari mkuu nilienda kwanza Jumuiya kusali ndo ratiba zingine ziendelee, habari za asubuhi yako inaendaje
Sana nawe pia barikiwa, jumuia ilikuwa njema mkuuInaendaje jumuiya? nimependa ratiba yako ubarikiwe sana
Pipi ya aina gani iyo sakayoMdomoni nina pipi
Sakayo anamumunya pipi kali, habari za asubuhi nduguPipi ya aina gani iyo sakayo
Chochote fanyeni me simo,Ndani ya pochi ya dada ako kuna pipi pia mdomoni ana pipi nimeitaka ya mdomoni tena naifuata mwenyewe unakipingamizi chochote
Amelala kwa maisha gani niliyonayo nilale wakati kuna njaa hapa nataka nirudi home once nikawasabai maana wiki nzima sijawaonaBanah gbefa bado amelala
Pipi ya kijiti, ya Kidonge, lawalawa au Peremende?, unazijua hizo?Mdomoni nina pipi
Ukweli unauma nyie mnapoenda nyie mhmh sijui me observer tu jamani.. All the bestHadhira haina shida kama moyo ndo wajua ukweli
Ngumu kumeza,ngumu kutafuna vyote imoooNitalipa dawasco, azamtv, luku na school fees baada ya mshahara wangu kutoka mwisho wa mwezi huu nivumilieni wanangu hali ngumu