gbefa
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,807
- 15,846
Mwaka huu mambo poa kabisa Ila mvua hakunaNchi jirani ya Kenya inafanya uvhaguzi wake wa viongozi mwaka huu
Mwaka huu mambo poa kabisa Ila mvua hakunaNchi jirani ya Kenya inafanya uvhaguzi wake wa viongozi mwaka huu
Blaki womani amekuwa mali asili?Faru John pamoja na Blaki Womani
Mwaka huu blaki womani unawaambia nini wale wanaojichubua kutaka kuwa white womaniNchi jirani ya Kenya inafanya uvhaguzi wake wa viongozi mwaka huu
Watu wanakuonea wivu sana, nakupenda mpaka napata homaaaGbefa kipenzi cha mungu anywi wala havuti hata wanawake hana msimsingizie bure dogo la watu
Utamu kolea ndo kiitikio cha hadithi hadithiHainogi kwa sababu haina utamu
Homa hata mimi naipata kipenziWatu wanakuonea wivu sana, nakupenda mpaka napata homaaa
Homaa kwa sababu ya kupenda huo ni mwanzo wa wogaWatu wanakuonea wivu sana, nakupenda mpaka napata homaaa
Homaa ya mapenzi ni mbaya sana unaweza kufa na presha.Watu wanakuonea wivu sana, nakupenda mpaka napata homaaa
Umeshananiliwa ndo nini mdogo wangu jamaniPili na wewe si umeshananiliwa!?
Hainogi mkuu hapo kwenye jumuia ndio pamenipa changamotoYako ratiba inaanzaje mkuu siku za weekend bila sala wala hainogi
Kipenzi kunywa panadol ndo dawa ya homaHoma hata mimi naipata kipenzi
Mwisho mwampamba amepotekea wapi baada ya kutamba enzi zakeHuu uzi unakwenda tu yaelekea hauna mwisho
Womani anayependa kujichubua huwa siwakubali kabisa pacha,Mwaka huu blaki womani unawaambia nini wale wanaojichubua kutaka kuwa white womani
Woga ni kukiri kushindwaHomaa kwa sababu ya kupenda huo ni mwanzo wa woga
Hakuna kulima mahindi wala maharage hadi majira ya masikaMwaka huu mambo poa kabisa Ila mvua hakuna
Zake enzi zilikuwa zile hizi za wengineMwisho mwampamba amepotekea wapi baada ya kutamba enzi zake
Mali asili hapatikani kwenye jamii siku hizi mtu mweupe na ana churaBlaki womani amekuwa mali asili?
Changamoto gani tenaa hiyo mamy, unataka kusema hapo ulipo hamna jumuia au majukumu ndo yanabana mpaka huendi jumuiaHainogi mkuu hapo kwenye jumuia ndio pamenipa changamoto
White womani wakipita juani wanakuwa mara wekundu mara zambarau waache weusi maliMwaka huu blaki womani unawaambia nini wale wanaojichubua kutaka kuwa white womani