Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Ngumu kumeza mdogo wangu, dah mdogo wangu naona hurudishi fadhila, mimi nilipambana umpate rafiki yake sakayo ila wewe unaharibu hutaki nimpende kabisa sakayo
Unaharibu hapo kaka me namfahamu yule wa sasa huyu untaka umfanye mchepuko mkuu
 
December imefanyaje pacha? Wala ni hii January mpunga unakata hasa kwa majukumu ya kupeleka watoto shule
Shule shule yetu shule yetu tunduruuuu twaaamuombaaa mola akujalie, ili shule iweze kuwa imara daima shule yetu ya tunduru mungu Linda daima, wewe ni chombo chetu, ulizaliwa kwa umoja, na kila hali, haiwezekani iwe mwiko kwetu daima shule ya tundura Linda daimaaaaaaaa nimekushwa mbali sana dah ugali na maharage dairy ilikuwa ni mwendo wa suti tu... Impossible is possible
 
Back
Top Bottom