Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,753
- 51,238
Nitalipa mimi pacha, unatumia nini pachaAll the best ndani ya wikend wadau kuleni kunyweni mi nitumieni bili tu nitalipa
Nitalipa mimi pacha, unatumia nini pachaAll the best ndani ya wikend wadau kuleni kunyweni mi nitumieni bili tu nitalipa
Ngumu kumeza mdogo wangu, dah mdogo wangu naona hurudishi fadhila, mimi nilipambana umpate rafiki yake sakayo ila wewe unaharibu hutaki nimpende kabisa sakayoNitalipa dawasco, azamtv, luku na school fees baada ya mshahara wangu kutoka mwisho wa mwezi huu nivumilieni wanangu hali ngumu
Pacha mimi misosi tu samaki samaki,vyombo situmii labda gbefa,sakayo na mama fbNitalipa mimi pacha, unatumia nini pacha
Mamaafacebook, gbefa wanagonga mvinyo ila sakayo wala hatumi, samaki makange na wali nazi vinakuja nimeagiza pacha cha msingi ule ushibe pachaPacha mimi misosi tu samaki samaki,vyombo situmii labda gbefa,sakayo na mama fb
Pacha na mm natafta pacha jmn.. Maana kila mtu pacha pachaNitalipa mimi pacha, unatumia nini pacha
Pacha wangu Aishah2016 mimi si ndiye nimempa kibali namge akuoe so mimi pacha wangu nimekukabidhi kwenye mikono salama pacha wangu doctor by professionalPacha na mm natafta pacha jmn.. Maana kila mtu pacha pacha
Professional ya u doctor kweli au ndo ki jf, afu ww nani kukupa kibali cha kuwaozesha wtt wa watuPacha wangu Aishah2016 mimi si ndiye nimempa kibali namge akuoe so mimi pacha wangu nimekukabidhi kwenye mikono salama pacha wangu doctor by professional
Watu wenyewe mnamkosea Mungu kila kukicha,rudini mpige goti kutubu dhambi zenu pacha, halafu usijifanye hujuwi hapa wakati wewe mlipendana na namge bila hata wazazi kuto juwaProfessional ya u doctor kweli au ndo ki jf, afu ww nani kukupa kibali cha kuwaozesha wtt wa watu
Mbele ya hadhira ukidhalilishwa haitaondoka kwenye kumbukumbuMwendo wangu wa kumpenda sakayo ni wa kasi sana, ila amenitosa mbele ya hadhira
Nakiogopa kitu nisichokifahamu kukizungumza kwa wengineKidogo hicho ndo nakiogopa
Ubatikiwe sana mtu anayemtanguliza Mungu naye anamkumbuka siku zoteInaendaje jumuiya? nimependa ratiba yako ubarikiwe sana
Mkuu nimeipenda bure ratiba yakoSana nawe pia barikiwa, jumuia ilikuwa njema mkuu
Siku zote tukumbuke kwamba hapa duniani tuko matembezini na tutaondoka siku yoyote.Ubatikiwe sana mtu anayemtanguliza Mungu naye anamkumbuka siku zote
Hizo zilikuwa enzi zetu na pipi nyeupe ukitumwa dukani mwenye duka anakupa peremende kama motishaPipi ya kijiti, ya Kidonge, lawalawa au Peremende?, unazijua hizo?
PachaMamaafacebook, gbefa wanagonga mvinyo ila sakayo wala hatumi, samaki makange na wali nazi vinakuja nimeagiza pacha cha msingi ule ushibe pacha

Ngumu zaidi kipindi hiki cha January baada ya matumizi makubwa ya decemberNitalipa dawasco, azamtv, luku na school fees baada ya mshahara wangu kutoka mwisho wa mwezi huu nivumilieni wanangu hali ngumu
Pacha wanapendeza wakiwa wa jinsia mojaNitalipa mimi pacha, unatumia nini pacha
Moja ehh, ila kweli pachaPacha wanapendeza wakiwa wa jinsia moja