bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,836
- 4,152
Yangu nzuri siijui yako!Chungu pipi kali mkuu, habari za asubuhi yako
Yangu nzuri siijui yako!Chungu pipi kali mkuu, habari za asubuhi yako
Mkuu nimeamka salamaYako kwani ulinipa, Umeamkaje lakinii mkuu
Mkuu yangu nikupe, ni ys mdomoni lakini kama unataka njoo mdomoniYako kwani ulinipa, Umeamkaje lakinii mkuu
Salama kudandia gari kwa mbele!Mkuu nimeamka salama
Yako kama ni njema basi ni kushukuru Mungu. Mie asubuhi yangu iko poaYangu nzuri siijui yako!
Yako siku iwe siku nzuriKamasi zikishushwa na msema ovyo (mo) shauri yako
Mdomoni hapana jamani, asante lakiniMkuu yangu nikupe, ni ys mdomoni lakini kama unataka njoo mdomoni
Mbele kuna ajali endesheni kwa umakiniSalama kudandia gari kwa mbele!
Lakini mbona mimi nataka yako ya mdomoni, usininyime banahMdomoni hapana jamani, asante lakini
Umakini wahitajika katika shughuli zoteMbele kuna ajali endesheni kwa umakini
Poa kwanza halafu urudi baadaye ukute tumeshapozaYako kama ni njema basi ni kushukuru Mungu. Mie asubuhi yangu iko poa
Banah ya mdomoni sikupi ninayo ingine kwenye pochiLakini mbona mimi nataka yako ya mdomoni, usininyime banah
Pochi ya nini, sijaomba ya kwenye Pochi banahBanah ya mdomoni sikupi ninayo ingine kwenye pochi
Banah ndugu habari za asubuhi mmeamka salama kama mimi?Pochi ya nini, sijaomba ya kwenye Pochi banah
Mimi pia nimeamka salama sheheBanah ndugu habari za asubuhi mmeamka salama kama mimi?
Mimi nawaza wiq-end hii nifanye nini, natumai mko poa humu ndaniBanah ndugu habari za asubuhi mmeamka salama kama mimi?
Ndani ya bahari kuna papa na vibuaMimi nawaza wiq-end hii nifanye nini, natumai mko poa humu ndani
Ndani ya pochi ya dada ako kuna pipi pia mdomoni ana pipi nimeitaka ya mdomoni tena naifuata mwenyewe unakipingamizi chochoteMimi nawaza wiq-end hii nifanye nini, natumai mko poa humu ndani
Vibua watamu banah ahhhh yani ukiwapika na ugali kachumbari pembeniNdani ya bahari kuna papa na vibua
Pembeni mwa barabara si salama kwa watoto wadogo kuchezaVibua watamu banah ahhhh yani ukiwapika na ugali kachumbari pembeni