stacia
JF-Expert Member
- Oct 31, 2016
- 752
- 1,475
Huko mbele tutapoteana na mshindi hatopatikanaMimi naamini hakuna wa kushinda kwa sasa mchezo wenyewe hauna "time limit" yaani tutacheza hata miaka kadhaa huko mbele!
Huko mbele tutapoteana na mshindi hatopatikanaMimi naamini hakuna wa kushinda kwa sasa mchezo wenyewe hauna "time limit" yaani tutacheza hata miaka kadhaa huko mbele!
Jamvini nami nalalaJamvi limepoaaa...sawa kituko tukutane kesho jamvini
Nalala me yanga nafurahia simba imechukua kombeJamvini nami nalala
Nalala pia jamani, usiku mwema kwenuJamvini nami nalala
Kwenu pia usiku mwema ila huku sidhani kama mwema atakuja, ngoja tumsubiri.Nalala pia jamani, usiku mwema kwenu
Tusubiri kama faru john atabalika kitabiaKwenu pia usiku mwema ila huku sidhani kama mwema atakuja, ngoja tumsubiri.
Kitabia magu anaonekana mtata tangu enzi za kamasiTusubiri kama faru john atabalika kitabia
Kamasi zikishushwa na msema ovyo (mo) shauri yakoKitabia magu anaonekana mtata tangu enzi za kamasi
Fasta fasta weekend ishaanza katika! Hakika kweli hapa kazi tuu, tutapumzika tukiwa mbinguni.Kipindi maalumu hiki sitaki hata kukifatilia nitaumia kichwa bure natamani 2020 ifike fasta
Kesho ilifika! Maskini ikawa zamu ya simba jike kuwa f**kedAzam zamu yenu kesho
Mdomoni nina pipiMbege unapoitaja kwa wengine mate yanawajaa mdomoni
Pipi tamu au chungu?Mdomoni nina pipi
Chungu pipi kali mkuu, habari za asubuhi yakoPipi tamu au chungu?
Pipi unanyonya peke yakoMdomoni nina pipi
Chungu ni kizuri cha kupikia maharagePipi tamu au chungu?
Yako kwani ulinipa, Umeamkaje lakinii mkuuPipi unanyonya peke yako
Mbinguni antidot ni mbaliFasta fasta weekend ishaanza katika! Hakika kweli hapa kazi tuu, tutapumzika tukiwa mbinguni.
Kesi ipi tenaUnatafutwa na polisi ujibu kesi