Lakini swali lako ni swali la msingiWenyewe tunakubali hali ya uchimi ipo imara wakati hela ya kununua nafaka hatuna tunabaki kubadilishana na mbuzi, fedha mtaani zimeenda wapi, au BOT wanachapisha kiasi kidogo cha fedha nauliza tu lakini.
Sana hata tanga napajua kiasi haswa pale chumbageni, tanga beach, pongwe, kange, stendi kuu, forodhani n.kMtu wangu nimesoma usagara pale advance level, Tanga naijuwa sana.
Muheza kumechangamka kidogo Ila sio kama tanga town, pia stand ya muheza ni local sana haifanani na hadhi ya mji, ilitakiwa wajenge kama ile ya kange ndio freshSana karibu tena Muheza
Siku hizi wewe dada unafunguka kweli sijui walishwa nini maana hapa umejiexpose haswaaa kuna mtu amekumezea mateGharama sana kuwa na mpenzi mwenye wivu, hana hela halafu ana kibamia na hajui kukitumia, utalia kila siku
Kulala peke yako uogopi dada nikodi nije nikulinde, ujumbe wako umefika, uamke salama wanguLala unono pia nawe mkuu, mdogo wangu gbefa akija mwambie nimetangulia kulala
Mate yenyewe machungu kwa sababu ya kutokula kitu mda mrefu!
Mfupi mkorofi na muongeaji sana ndio sifa zaoMrefu ndio mzuri ww si mfupi??
Suluhu haitolewi pasipo na mtafarukuSifa zao pia machachari sana kula kitu wao wanataka watoe suluhu
Jumamosi bado bwana naona mapinduzi yamekupindua [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kesho ijuma nilifikiri jpili baada ya leo kufananisha na jmosi
Kipindi maalumu hiki sitaki hata kukifatilia nitaumia kichwa bure natamani 2020 ifike fastaMbele kwa mbele ndo wimbo unaopendwa na kudanganya watu wengi kipindi maalum
Kwa darubini? file la fisadi huwa lipo karibu karibu mda wwte anatoka akitoa mpungaHapo palipofichwa file la mtuhumiwa haliwezi onekana hata kwa darubini
mpunga sasa hivi umeadimika sijui sababu ya ukameKwa darubini? file la fisadi huwa lipo karibu karibu mda wwte anatoka akitoa mpunga
Gharama sana kuwa na mpenzi mwenye wivu, hana hela halafu ana kibamia na hajui kukitumia, utalia kila siku
ushoga sio wa kujadiliwa humu tafadhaliEmpire ya muongozaji Lee Daniel walijitahidi sana ila walikosea kuonesha ushoga
Mtaji usiokuwa na gharama