win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 9,032
- 30,791
hapana siku mbili tatu hivi nilikua busy sijatulia kabisa ila naimeona watu wanaisema sema, hebu nisimulie kidogo 😇kabisa la mama! hivi umeangalia polygamist?
hapana siku mbili tatu hivi nilikua busy sijatulia kabisa ila naimeona watu wanaisema sema, hebu nisimulie kidogo 😇kabisa la mama! hivi umeangalia polygamist?
kidogo twende usiku wa manane shorii!hapana siku mbili tatu hivi nilikua busy sijatulia kabisa ila naimeona watu wanaisema sema, hebu nisimulie kidogo 😇
sawaaakidogo twende usiku wa manane shorii!
Shorii alikuelewa kwelikidogo twende usiku wa manane shorii!
Ngoja tuone mwisho wakeHabari wanaJF,
Ninaomba tucheze mchezo unaitwa "wa mwisho ndo mshindi". Ni mchezo rahisi sana, unaanzisha sentensi kwenye neno la mwisho la sentensi aloandika mwenzako.
Mfano:
Ualimu Tanzania ni kazi ngumu kiasi
Kiasi ambacho kama hukuzoea maisha ya tabu, utalalama kila siku
Siku uianze vizuri bwana, ukiianza vibaya lazima utukane mwenzio
Mwenzio ni mtu ambaye mnaweka hisia zenu pamoja bila kusalitiana kama dr. Ulimboka na madkatari
Madaktari wa Tanzania wanahitaji kulipwa zaidi (tuendelee kwa mtindo huo wanaJF, wa mwisho ndo winner. Karibuni sana)
Kweli yule si mnafkiShorii alikuelewa kweli
Mnafiki afai n sawa n mchawaiiKweli yule si mnafki
Utaona tu😉😂😂😂Ngoja tuone mwisho wake
Mchawaii sio? Sema wachawi ni wengi mno hata humu, wanachukia mpaka watu hawawajui🤦🏽♀️Mnafiki afai n sawa n mchawaii
Vichaa ni ninyi Mnaoharibu uzi mkachati huko!Tulia unyolewe
Samia anaongoza vichaa
Hawawajui na bado wanawaumiza vichwa.Mchawaii sio? Sema wachawi ni wengi mno hata humu, wanachukia mpaka watu hawawajui🤦🏽♀️
Vichaa including you!Hawawajui na bado wanawaumiza vichwa.
Hakika Samia anaongoza vichaa
Ngoja tuone mwisho wakeVichaa including you!
Hawawajui na wanachomeka mada ambazo azihusiani na uzi nwetuMchawaii sio? Sema wachawi ni wengi mno hata humu, wanachukia mpaka watu hawawajui🤦🏽♀️
Wetu ndio, wanazingua kinyama!Hawawajui na wanachomeka mada ambazo azihusiani na uzi nwetu