Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Hujamuona huko jamani, msalimie maana nikiwepo ananikwepa nikiondoka anaanza sema animiss
Sema animiss na Mimi pia ndio maana namkimbia...
Kesho Nina test wakuu ndio maana nanyapia nyapia humu mguu ndani mguu nje ila baadae tutakuwa sote wakuu mchana mwema
 
Forever [emoji23][emoji23][emoji23] you want me to be your gelofrendi? Hahahhahahahaha
Hahahahhah[emoji23] [emoji23] SITAKI capital letters hahahaha jamani kweli tupo kwenye mapinduzi maana unataka kufanya mapinduzi hapa hapa maama kituko ushemeji utapigwa teke kule hahahahaa mamaafacebook huwa una utani unao karibia ukweli wewe[emoji23] [emoji23]
 
Hajaja yaani, dogo sikuhizi simuelewagi kabisa
Kabisa dogo sijuwi anasoma ila hata mimi nammiss mdogo wangu gbefa maana kanajua kuharibu deal za watu wakubwa, anajua kufitinisha, anajua mengi dogo yani atakua yupo vizuri sana class kama mimi kaka yake enzi za chuo
 
Hahahahhah[emoji23] [emoji23] SITAKI capital letters hahahaha jamani kweli tupo kwenye mapinduzi maana unataka kufanya mapinduzi hapa hapa maama kituko ushemeji utapigwa teke kule hahahahaa mamaafacebook huwa una utani unao karibia ukweli wewe[emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji115][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]was joking aiseeeeeeey usinigombanishe mie
 
Mie nitakunong'oneza kitu baadae, eti mamaafacebook, hivi tanga kuna dawa za mapenzi maana mkoa wa Tanga mhmhh hamjambo, nataka dawa ila sio za wapiga ramli nataka kitu kisicho mkwaza Mungu
 
Kabisa dogo sijuwi anasoma ila hata mimi nammiss mdogo wangu gbefa maana kanajua kuharibu deal za watu wakubwa, anajua kufitinisha, anajua mengi dogo yani atakua yupo vizuri sana class kama mimi kaka yake enzi za chuo
Chuo chenu ulikuwa unakimbiza kwa kutoka na mamanzi wakali kama sakayo mvalishwa viatu bisha kaka!
 
Back
Top Bottom