Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
Pichu tena makubwaDada yako pia hujue mkuu, shauri yako mie simo mmefikia hatua ndugu mnavuana pichu
Pichu tena makubwaDada yako pia hujue mkuu, shauri yako mie simo mmefikia hatua ndugu mnavuana pichu
Sana sana unaongeza kusisitiza jamboNdugu umenifungua akili nashukuru sana
Mkenya wa Kakamega au Mombasa?Nani amesahau kuwa mimi ni mtanzania mwenzenu mgombea binafsi kiti cha uraisi uchaguzi2020, sakayo wewe ni mkenya?
Wifi huyu mzuri mtaratibu mwelewa mkarimu mcheshi mcha mungu bila shaka najivunia kuwa nae.Dhati mmepandana nafrahi kupata wifi
Nae mdumu nimekumiss my dear brotherWifi huyu mzuri mtaratibu mwelewa mkarimu mcheshi mcha mungu bila shaka najivunia kuwa nae.
Mombasa na mombasani kunatofautianaMkenya wa Kakamega au Mombasa?
Mwaya umepotea kama moshi rudi nikuambie kitu, halafu huyu mdogo wangu gbefa naona anaweka obstacles nyingi sanaKukufunda ndo nini, mie nimefundwa toka nikiwa na miaka nane mwaya
atug kaachwa?
Mahari mwambie mzee asubiri kidogo janaury ipite maana mhmhmhYako roho yapenda wangapi, mdogo wangu gbefa njoo uchukue mahari
Vile mnavyofanana kama parachichiKwa kweli mie nafanana sana na mdogo wangu gbefa ka mapacha vile
Wangu eti unaandika vizuri sana,Hahahahahaha ameuzimia mwandiko wangu
Mtego wangu tegua, je unataka honeyNini sasa, mbona swali la mtego
moon nikupeleke Wapi sakayo wanguVurugu tuache, tulete amani kwa taifa letuUchochezi ndo chanzo cha vurugu
Pichu?? Ahhh mambo sio hadharani hivyo mdogo wangu, ngoja dada yako aje.Dada yako pia hujue mkuu, shauri yako mie simo mmefikia hatua ndugu mnavuana pichu
Mahari ni batili Mara hii mshakuwa wapenzi duuh hii Kali ya sakayo na [color= purple]Toxix9[/color]
Kindugu tupendane sawa mtoto mzuriMatabaka hayatakiwi tunaishi kindugu