Hata kidogo sina hamu Leo wakuu Ila hapa kuna mtu amenipa appointment that's why am back againUnono pia nawe ulale, vipi leo unapiga deshi mdogo wangu bila kuperuzi hata kidogo
Nyie vipi bhanah mbona siwaelewi kila mtu na njia yake Toxic9 kwake na Sakayo kwaoKivulini wapi, ndugu wenyewe ni nyie
Mkuu nimerudi tena kuna namsubiri kaniambia nisilale analeta mzigo gani sijuiMuongo au mheshimiwa S. muhongo utata eh, hebu lala mkuu,
Angekuepo!? Angetokea wapi wakati mkuu wake sipo au bado sijajaIsiwe kesi basi, vipi Kuhusu mdogo wetu anaekufuata angekuwepo
Dona ilininenepesha a level hadi nilivyorudi likizo maza akauliza eti nimetoka shule au hotelini Dah nachekaga sana nikikumbukaUnga wa sembe au dona
Kutiririka ndio mpango si unajua hichi ndio kijiwe chetu cha kupunguza stress za sikuSijaja tena lakini nilikuwa wa mwisho, nashangaa mnazidi kutiririka.
Bure upendo wako kwangu, asante mimi pia nimekupenda kwa upendo wa dhati.Mkuu nimekupenda bure
Dhati mmepandana nafrahi kupata wifiBure upendo wako kwangu, asante mimi pia nimekupenda kwa upendo wa dhati.
Mkuyati na Viagra vina tofauti ganiUpendo wa dhati kielelezo cha mkuyati
Wenyewe hata hawajielewi wapowapo tuGani!!!!!?Unauliza kwan hutumiagi utujuze ukweli wenyewe
Wifi amefanyaje tena dada, goodmorning to everyone mamaafacebook hujambo kipenzi
Mwaka huu naona unanitafuta ubaya, hivi kwanini mapenzi yameshuka hivyo umempata anaye hudumia zaid ehh,kipenzi cha zamani wa Diamond sijamsikia muda au amekosa kik za kuanzia mwaka
Mwaka huu naona unanitafuta ubaya, hivi kwanini mapenzi yameshuka hivyo umempata anaye hudumia zaid ehh,
Kumwagiliwa mbona nafanya kazi yangu vizuri jamani, au wapi nakoseaeeehh yamekuwa hayo, jiulize kwa nini yameshuka uweze kuyapalilia ujui hata maua yanahitaji kumwagiliwa