Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,743
- 51,173
Tabia imefanyaje tena jamani, mbona unaninyanyasa na penzi lako mtoto wa kitanga, ngoja mamaafacebook aje anisaidie kukufundaKaka mwambie ukweli, yaani mpaka amenishinda tabia
Tabia imefanyaje tena jamani, mbona unaninyanyasa na penzi lako mtoto wa kitanga, ngoja mamaafacebook aje anisaidie kukufundaKaka mwambie ukweli, yaani mpaka amenishinda tabia
Mkuu endelea tu kunifumania, roho yangu tuli kwa sakayo dada yakoTena nimeshakufumania Mara kibao kwenye baadhi ya thread uko na hii mada.. Sawa sawa mkuu
Shehe akhsante sanaTu!! Ahhh shehe Kwahiyo nawe ni mwanachama wa chaputa, tafuta binti uweke ndani achana na mambo ya kutumia mkono, mkono unamaliza nguvu kabisa jogoo hata wika tena shehe
Sakayo atakuwa mwanamke mzuri sana maana hata mwandiko wake tu unasadifu kuwa yaliyomo yamo kwa kweli.Tu? Mhmhmhh Mmoja tu, wapi shehe unadanganya, unamkimbiza ndege wangu sakayo
Yako unaijua mwenyeweMkuu endelea tu kunifumania, roho yangu tuli kwa sakayo dada yako
Kike ehh, basi sawa ntoto wa kike, mbona 2012 sikukuona humu ukichangia ntoto wa kikeHii thredi ni ya mwaka 2012. Sitaki ujinga mie ntoto wa kike
Kweli umenifanya nicheke sana mkuu, mwandiko wake umefanyaje hahahahahaSakayo atakuwa mwanamke mzuri sana maana hata mwandiko wake tu unasadifu kuwa yaliyomo yamo kwa kweli.
Kike ni nini?Kike ehh, basi sawa ntoto wa kike, mbona 2012 sikukuona humu ukichangia ntoto wa kike
Hahahaha anaandika kama kimeingia nusu vileKweli umenifanya nicheke sana mkuu, mwandiko wake umefanyaje hahahahaha
Nini mkuu! neno kiki ni Ke, T1990 OVA nimekusoma upo pande zipiKike ni nini?
Sakayo hahahaha muache kipenzi changu, ngoja aje atoe mrejesho kama kweli anaandika kama...... (mabano)Hahahaha anaandika kama kimeingia nusu vile
Natania tu Sakayo
Zipi zilizoharibika tuzitupeNini mkuu! neno kiki ni Ke, T1990 OVA nimekusoma upo pande zipi
Mabano mimi simoSakayo hahahaha muache kipenzi changu, ngoja aje atoe mrejesho kama kweli anaandika kama...... (mabano)

Mwanza over nimekusoma mkuu T1990, napenda samaki sana mkuuZipi zilizoharibika tuzitupe
Mkuu toxic9 nipo pande za Rock City(Mwanza)
Mkuu toxic9 karibu sana pande hiziMwanza over nimekusoma mkuu T1990, napenda samaki sana mkuu
Wapi Kuna hela za kutoshaMkuu toxic9 karibu sana pande hizi
Wewe uko wapi?
Kukufunda ndo nini, mie nimefundwa toka nikiwa na miaka nane mwayaTabia imefanyaje tena jamani, mbona unaninyanyasa na penzi lako mtoto wa kitanga, ngoja mamaafacebook aje anisaidie kukufunda
Yako roho yapenda wangapi, mdogo wangu gbefa njoo uchukue mahariMkuu endelea tu kunifumania, roho yangu tuli kwa sakayo dada yako
Kwa kweli mie nafanana sana na mdogo wangu gbefa ka mapacha vileSakayo atakuwa mwanamke mzuri sana maana hata mwandiko wake tu unasadifu kuwa yaliyomo yamo kwa kweli.