Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Ccm watakua wanamjutia alive mpendekeza mh. Maana hali sio shwari kwa wote
 
Wote tunaisoma namba lakini wale waliobeba mbeleko za kuimba wacha waisome wamekuta namba ni za Kigiriki wanabaki kuvunga tuu ili mambo yaende hivohivo
 
Mkuu...
Habari za asubuhi na wana jf kwa ujumla naamini mmeamka salama na huu muda wa kupambana kutafuta riziki hivyo tunaomba radhi kwa memba wote wa jf tukutane hapa mida ya jioni.

Jioni Mbona imepita goldie inc. Hapa bongo saa 4asubuhi,NY saa 8usiku L.A (Los Angles)saa5 usiku Na Brisbane Australia 11 jioni
 
Back
Top Bottom