Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,706
- 51,032
Makubwa ndiyo yapi mtoto mzuriPichu tena makubwa
Makubwa ndiyo yapi mtoto mzuriPichu tena makubwa
mzuri wa rohoMakubwa ndiyo yapi mtoto mzuri
Atug ndiyo kanipa talaka amenipa masaa 24 nimrudishe kwao, ila mimi sijataka tumetoka mbali
Atug ndiyo kanipa talaka amenipa masaa 24 nimrudishe kwao, ila mimi sijataka tumetoka mbali
Mombasa mkuu ahhh noma sana kwa mambo yale ya kijinga, waepuke kama ukomaMkenya wa Kakamega au Mombasa?
Ukoma bado ni tishioMombasa mkuu ahhh noma sana kwa mambo yale ya kijinga, waepuke kama ukoma
Pichu ndo nini tenaa gbefa, sina hamu mie Yanga yangu jamaniDada yako pia hujue mkuu, shauri yako mie simo mmefikia hatua ndugu mnavuana pichu
Toxic9 wala hana shida mdogo wangu ni utani au umechukia ndugu, basi nafutaMahari ni batili Mara hii mshakuwa wapenzi duuh hii Kali ya sakayo na Toxix9
Tena wewe ndo umebadlilkaHivyo usiwe na hofu tena
Kikenya haswaa tena wa Machakos mpendwaWapi mkuu zaidi ya kuwa Tanzania, sakayo ndiyo mkenya, ni manzi wa kikenya
Sana na ni sababu ananipenda na kunijali dadake, gbefa we ni dogo langu la ukweeliMwaya umepotea kama moshi rudi nikuambie kitu, halafu huyu mdogo wangu gbefa naona anaweka obstacles nyingi sana
Mmmh, kumbe ni mkopo NgachokaaMahari mwambie mzee asubiri kidogo janaury ipite maana mhmhmh
Parachichi kwa ndizi ni tamu balaaVile mnavyofanana kama parachichi
Sana kama wewe tu mkuuWangu eti unaandika vizuri sana,
Wangu mie sipendi kwenda mbali saana zaidi ya kule kilimakyaroMtego wangu tegua, je unataka honeymoon nikupeleke Wapi sakayo wangu
Time table mbona hatuioni?Sana kama wewe tu mkuu
Aje wapi mie mmenishinda tabia, hivi kwa nini lakinii mdogo wangu gbefaPichu?? Ahhh mambo sio hadharani hivyo mdogo wangu, ngoja dada yako aje.
Kijana wenu atulie nyumbaniToxic9 kukosea jina langu ni kosa la jinai Jamhuri itakufungulia mashtaka kijana