Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,745
- 51,212
Apatikanike atakaye mfunga paka kengeleHuu mchezo auhitaji hasira ni lazima tu mshindi wa mwisho apatikane..
Apatikanike atakaye mfunga paka kengeleHuu mchezo auhitaji hasira ni lazima tu mshindi wa mwisho apatikane..
Mwisho wa yote mheshimiwa mgeni rasmi , wakuu wa mkoa, wakuu wa wilaya, wakurugenzi na wadau mbalimbali mliopo hapa niseme tu nahitimisha kwa kusema nawapenda sana, tujenge taifa letu pendwa kwa mshikamanoApatikane kwa kuwa wa mwisho
Namna siku zinavyokimbia kesho tu tunamaliza mwezi Januari , kasi ya ajabu 2017 huo mbio, ngoja nikutakie heri ya mwaka mpya2018 in advance if God wishesIle njia moja ya kwanza imefungwa tutumie hii ya wa mwisho tu maana hamna namna
Mshikamano na bidii ya kazi huleta maendeleoMwisho wa yote mheshimiwa mgeni rasmi , wakuu wa mkoa, wakuu wa wilaya, wakurugenzi na wadau mbalimbali mliopo hapa niseme tu nahitimisha kwa kusema nawapenda sana, tujenge taifa letu pendwa kwa mshikamano
Wishes good day for all using jamii forumNamna siku zinavyokimbia kesho tu tunamaliza mwezi Januari , kasi ya ajabu 2017 huo mbio, ngoja nikutakie heri ya mwaka mpya2018 in advance if God wishes
Maendeleo yako binafsi huletwa na wewe MwenyeweMshikamano na bidii ya kazi huleta maendeleo
Maendeleo ni mimi na weweMshikamano na bidii ya kazi huleta maendeleo
If God wishes tutakuwa pamoja mpaka mwisho wa pumzi zetu, either nianze mimi au weweNamna siku zinavyokimbia kesho tu tunamaliza mwezi Januari , kasi ya ajabu 2017 huo mbio, ngoja nikutakie heri ya mwaka mpya2018 in advance if God wishes
Wewe ndo naniMaendeleo ni mimi na wewe
Mwenyewe nakubali hiyo kauli mbiu kwamba maendeleo na mafanikio huletwa na jitihada zako binafsiMaendeleo yako binafsi huletwa na wewe Mwenyewe
Mwingine atakupotezea muda wakoMaendeleo yataletwa na sisi wenyewe siyo mtu mwingine.
Binafsi napambana ila bado sijafikia malengoMwenyewe nakubali hiyo kauli mbiu kwamba maendeleo na mafanikio huletwa na jitihada zako binafsi
Malengo yako yanabidi ya akisi uhalisia, yani usiweke malengo makubwa yasiyo endana na kasi yako all in all God is GOOD atatuwezesha tukijiwezeshaBinafsi napambana ila bado sijafikia malengo
Nani amesahau kuwa mimi ni mtanzania mwenzenu mgombea binafsi kiti cha uraisi uchaguzi2020, sakayo wewe ni mkenya?Wewe ndo nani
Malengo ni kitu muhimu ambacho kila mtu anachoBinafsi napambana ila bado sijafikia malengo
Tukijiwezesha hamna linaloshindikana kakake mie, hata mbuyu ulianza kama mchichaMalengo yako yanabidi ya akisi uhalisia, yani usiweke malengo makubwa yasiyo endana na kasi yako all in all God is GOOD atatuwezesha tukijiwezesha
Mkenya ndio, una kipaji cha utabiri chunga usikiue mkuuNani amesahau kuwa mimi ni mtanzania mwenzenu mgombea binafsi kiti cha uraisi uchaguzi2020, sakayo wewe ni mkenya?
Anacho kiwaza mtu ndicho anachotarajia kukifanya ili aweze kufikia pale anapotamaniMalengo ni kitu muhimu ambacho kila mtu anacho
Mkuu kumbe toxic9 ana kipaji cha utabiriMkenya ndio, una kipaji cha utabiri chunga usikiue mkuu