Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Chuoni una gonga faculty gani shehe, na unapendelea subjects gani, na unasoma kwa kuelewa au unajaza space tu kichwani, na je unatarajia kuwa nani in future, na je unasoma kwa minajili ipi uajiriwe au ujiajiri
Ujiajiri bila mtaji me napiga bachelor degree in logistics & transport management, mkuu nasoma ili niwe na mawazo mapana kidogo kuhusu kuajiriwa ikitokea nitafanya hivyo but ndoto zangu zipo mbali sana na kuajiriwa...
Napendelea mawili tu chuoni communication skills na transport safety and security kwa sababu ndio masomo pekee nayosoma bila kutumia scientific calculator..
Ila haya matatu yaliyobaki yaani kama haupendi hesabu baasi lazima ile kwako ni mwendo wa calculations hadi naogopa aisee
 
Aiseee Tarehe 10.01.2017 rais wa jamhuri ya muungano wa TANZANIA

Anakuja mkoani kwetu SIMIYU
 
Sasa hivi heshima hakuna tena
Tena mnaniuzi kutuvalia nusu uchi juzi nilishindwa kusoma library manzi kavaa kigauni kinafika mapajani alivyokaa tulikuwa tunatazamana aisee kinguo kilipanda juu utadhani alikuwa anavuliwa 6*6 yaani me baada ya kusoma nikawa naangalia tu pichu yake na ke yake ilivyonona mwisho sikuambii ilikuaje Ila mnatuumiza sana haswa binti ukikuta mashallah kaajaliwa shape na rangi ya mtume lazima udate
 
Back
Top Bottom