Namge
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 1,446
- 1,991
Mwema alikuwa Kama Mkuu wa jeshi la polisiKusikia wanasikia ila hawatekelezi.
Wakuu muwe na usiku mwemaa
Mwema alikuwa Kama Mkuu wa jeshi la polisiKusikia wanasikia ila hawatekelezi.
Wakuu muwe na usiku mwemaa
Polisi wana hali mbaya kifedha kwani raia hawahongi tenaMwema alikuwa Kama Mkuu wa jeshi la polisi
Shemu ake kituko, umepika nini jioni hii nije kulaMengi kama yapi nijuze shem
Zao wameficha za kwetu ziko wapi.Polisi ipo kwa aijili ya kulinda raia na mali zao
Tena siku hizi rushwa inapigwa vita kuliko zamaniPolisi wana hali mbaya kifedha kwani raia hawahongi tena
Sivai kitu kinacho nifanya nisiwe comfortable, kama ni jeans basi sio imetoboka[damage] mpaka panya anaweza penya ikaleta tafraniImekufaa ile tshirt? Skin jeans sivai
Kuzuri sanaKwetu kuzuri
Kwetu mbwa mkaliKijinga cha moto mambo ya kijijini haya nimepakumbuka kwetu
Kula tumeshakula ila nimekuekea akiba kwenye hotpot wali nyama nimepikaShemu ake kituko, umepika nini jioni hii nije kula
Kwenu nasikia mzee anamiliki mtutu(bastola) huwa hatakagi ujinga analenga binti yake vijana wakimendeakwetu ni kama kwenu?
Tafrani nayo kokoroSivai kitu kinacho nifanya nisiwe comfortable, kama ni jeans basi sio imetobo[damage] mpaka panya anaweza penya ikaleta tafrani
Toxic9 amekumissMkuu kwetu ni jirani na kina toxic9

Sakayo acha kuzingua banah, gbefa karibu la familia ila ngada huku hatutumii,Toxic9 naomba niwe Mdogo wako ili nimpate yule anayeongozanga na sakayo
Jirani sana, hapa namuona sakayo kabisa nikisimama dirishaniToxic9 anaishi masaki kumbe mpo jirani
Kabisa ni marufuku NgadaSakayo hatakuruhusu kabisa
Atasikia miliyo ya kikubwa mida ya giza hii tuzime taa,Jirani kwa mbaaali, ila nikimwita atasikia
Wangapi!!! ninae mmoja tu wakike, nakapenda mpaka nadataWanao ni wangapi
Earphones zangu zina mkito hatariAtasikia kama hakuweka earphones